Watoto wa 'Mcharo' wapo vizuri hatari, waongoza matokeo Kidato cha Nne

Lakini siyo Mcharo wa hawa wachovu anayesemwa amekuwa mtamu!! Huyu wa kwake ni mabinti, yule la kwake ni li-vulana (jambazi)!!
 
Hongera zao wakaze wazidi kusonga na kufikia malengo yao
 
Airtel walikuwa wanajua mcharo anasomesha boarding na kweli wamepiga G😛:A za 5.
 
Maisha si rahisi kama watu wadhaniavyo.
Miaka Kumi ijayo tutajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…