Hahahahaaaa former FBI director we kibokoTujiandae kwa usuruhishi. Na ss hivi sijui kama nani atasuluhisha.
Na hii ndiyo watu hapa jukwaani wanaisifia kuwa, Kenya wana demokrasia nzuri kuliko ya Tanzania!Hii ndio so called demokrasia ya Afrika.
Sisi huwa tunajisuluhisha wenyewe...! Hukumbuki, alikuja Koffi Annan ati anasuluhusha huko Zanzibar, alichemsha. Baadaye sisi tukakaa kama wanafamilia wa Tanzania tukayamaliza. Sisi ni Taifa teule!Tujiandae kwa usuruhishi. Na ss hivi sijui kama nani atasuluhisha.
Hilo la demokrasia nzuri wala halina mjadala na usiliwe hapa. Watu kupanga njama za kuuana au kuteka watu mbona Tanzania ni kinara? Mmesahau, Igunga, Arumeru?Na hii ndiyo watu hapa jukwaani wanaisifia kuwa, Kenya wana demokrasia nzuri kuliko ya Tanzania!
================
R.I.P watoto wa James Ratemo wa Jubilee. Pia R.I.P mgombea Udiwani huko Machakos Thomas Minito. Poleni sana wafiwa.