Amini amini nakuambia... bado hujamsamehe mama yako mdogo. Na hili utaenda nalo mpaka kaburini usipobadilisha msimamo.Hapo hapana Aspin mh kama kuna kitu unakiogopa maishani basi wekea mfano huo, unaweza fika akaanza kukuchamba hahaha.
Ila moyoni mwangu sina neno nae maana hata baba anahusika katika hili, sasa naona haisaidii kumlalamikia mama wa kambo peke yake. Kuna kaka yangu ndio anawezana nae maana nae matta sana ko wanawezana sana tu
Hayo mateso yote ni laana ya kutompokea kristo yesuLoo! mama yangu alipata shida jamani, tumekulia katika huzuni kubwa sana, chakula kilikuwa kipo japo watoto wa nyumba ndogo walikuwa wanapata nyamanyama, sisi mboga mboga mama anachuma kwenye bustani maharage mtindo mmoja na maombi kwa sana.
Mama yangu alikuwa bi mkubwa, alikuwa mweusi mfupi, bi mdogo alikuwa mweupe mrefu, jamani alikuwa ana matusi mwanamke yule siwezi kumsahau ila nimesamehe. alikuwa anapenda ugomvi, anamtukana mama yangu, anamkimbiza ili wapigane mwee R.I.P mama yangu.
Baba nae alikuwa ametawaliwa na bi mdogo, yani bi mdogo alikuwa anaogopwa na baba kinoma, nyumbani hakuna amani hata chembe. mwe alitutesa alitutesa sana, Mungu amponywe maana bado lupo hai, ila naogopa hata kumwona
Hali hii imechangia familia yangu ya bi mkubwa kukumbwa na msongo wa mawazo, japo wote tumesoma hadi lavel za chuo, wengine diploma wengine form 4 tu lakini hakuna aliendelea kama watoto wa bi mdogo, kaka yangu mkubwa amekuwa mwalimu wa secondary kwa tangu ujana wake hadi uzeeni lakini kashindwa kusomesha watoto wake wawili wanahangaika tu
dada yangu mkubwa nae mtoto mmoja kasoma wengine wanaunga unga tu
dada yangu ninaefatana nae kapata kazi juzi na yupo kwenye 40s hajawahi pata kazi wala kunawili, kila mala alikuwa anaonekana kama analia hahaha, ndipo mimi nikaanza kumfundisha masomo ya kuachilia chuki, achilia hasira, achilia kila jambo linalokuumiza. Mimi pona yangu ni ibada na kusoma soma vitabu vya dini na meditation.
Watoto wa bi mdogo walisoma nao sawa sawa na natoto wa bi mkubwa, ila wao walikulia kwenye upendo hata kazi walipata mapema, maisha yao yalikuwa mazuri mpaka Magufuli alipoingia madarakani na wenyewe ndio maisha yao yaliingia dosali. Kuna waliopelekwa mahajamani kwa uhujumu uchumi, kuna walifukuzwa kazi sijui hata makosa yao.
Lala kwa amani mama yangu, nakukumbuka na nakupenda pia.
So sad Sara... Aisee pole sana. Nimesoma nilipofika hapo sehemu kuwa Dada yako alikuwa km analia nikacheka kwa Julia hadi machoziLoo! mama yangu alipata shida jamani, tumekulia katika huzuni kubwa sana, chakula kilikuwa kipo japo watoto wa nyumba ndogo walikuwa wanapata nyamanyama, sisi mboga mboga mama anachuma kwenye bustani maharage mtindo mmoja na maombi kwa sana.
Mama yangu alikuwa bi mkubwa, alikuwa mweusi mfupi, bi mdogo alikuwa mweupe mrefu, jamani alikuwa ana matusi mwanamke yule siwezi kumsahau ila nimesamehe. alikuwa anapenda ugomvi, anamtukana mama yangu, anamkimbiza ili wapigane mwee R.I.P mama yangu.
Baba nae alikuwa ametawaliwa na bi mdogo, yani bi mdogo alikuwa anaogopwa na baba kinoma, nyumbani hakuna amani hata chembe. mwe alitutesa alitutesa sana, Mungu amponywe maana bado lupo hai, ila naogopa hata kumwona
Hali hii imechangia familia yangu ya bi mkubwa kukumbwa na msongo wa mawazo, japo wote tumesoma hadi lavel za chuo, wengine diploma wengine form 4 tu lakini hakuna aliendelea kama watoto wa bi mdogo, kaka yangu mkubwa amekuwa mwalimu wa secondary kwa tangu ujana wake hadi uzeeni lakini kashindwa kusomesha watoto wake wawili wanahangaika tu
dada yangu mkubwa nae mtoto mmoja kasoma wengine wanaunga unga tu
dada yangu ninaefatana nae kapata kazi juzi na yupo kwenye 40s hajawahi pata kazi wala kunawili, kila mala alikuwa anaonekana kama analia hahaha, ndipo mimi nikaanza kumfundisha masomo ya kuachilia chuki, achilia hasira, achilia kila jambo linalokuumiza. Mimi pona yangu ni ibada na kusoma soma vitabu vya dini na meditation.
Watoto wa bi mdogo walisoma nao sawa sawa na natoto wa bi mkubwa, ila wao walikulia kwenye upendo hata kazi walipata mapema, maisha yao yalikuwa mazuri mpaka Magufuli alipoingia madarakani na wenyewe ndio maisha yao yaliingia dosali. Kuna waliopelekwa mahajamani kwa uhujumu uchumi, kuna walifukuzwa kazi sijui hata makosa yao.
Lala kwa amani mama yangu, nakukumbuka na nakupenda pia.
Kabisa aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23], ila Mimi mama zetu wanapendana basi mashaallah ila huwa namchokoza ma mkubwa anihadithie kashkash alizokumbana nazo anaishia kuniambia omba Mungu yasikukuteNaona sisi wa mke mdogo hautuhusu
Jikaze nenda ukamsalimie tumi bi mdogo namwogopa kama ninavyo ogopa nyoka hahaha kwahio wala simtembelei,,,dingi nae alifariki.
kweli bila kusamehe unajikuta umejitwika zigo kubwa sana,,,hakuna namna ni kusamehe tu
asante mpendwa
Injili yako ya MSAMAHA nimeipendaAmini amini nakuambia... bado hujamsamehe mama yako mdogo. Na hili utaenda nalo mpaka kaburini usipobadilisha msimamo.
Nakuonea huruma sana
Beira Boy+Yesu safi sana dogoHayo mateso yote ni laana ya kutompokea kristo yesu
Yesu ni mwema atawatendea yaliyo mema maishan mwenu
Namaanisha kila mtu anakomaa kivyake huna habari nao ko hakuna cha mzigo wa kijitwishasijakwelewa
Yes, ila kama umekulia katika familia za dizaini hii, mzigo ni mawazo, uchungu na chuki, havikai vikaondoka bila msaada wa maombi, watu psychology, na watu wanaofundisha mafunzo ya imani.Namaanisha kila mtu anakomaa kivyake huna habari nao ko hakuna cha mzigo wa kijitwisha
Kwa kweli ni jambo ambalo halinisumbui hata kidogo, hata sidhani kama anahitaji salaam yangu...namaanisha kila maja anaamani alipo. Hata kama hana amani basi ni yeye, mi nimefanya suruhu na moyo wanguJikaze nenda ukamsalimie tu
Ni kweli mkuu, na ukiwa na huzuni hata upake mafuta ya aina gani huwezi pendera, unakua kama unalia hahah..yaani saivi kajifunza kuachilia amenawili achaaa.So sad Sara... Aisee pole sana. Nimesoma nilipofika hapo sehemu kuwa Dada yako alikuwa km analia nikacheka kwa Julia hadi machozi
Sasa kwenye mitala ya ndoa kuna Yesu mkuu? hahahaHayo mateso yote ni laana ya kutompokea kristo yesu
Yesu ni mwema atawatendea yaliyo mema maishan mwenu
Amini Amini nakwambia mimi naweza samehe hata mtu ambae hajaniomba msamaha, kikubwa nimejisamehe mwenyewe, nimejisamehe kwa kujitwika mizigo isiyonihusu-ndoa ya wazazi wanguAmini amini nakuambia... bado hujamsamehe mama yako mdogo. Na hili utaenda nalo mpaka kaburini usipobadilisha msimamo.
Nakuonea huruma sana
Kweli mshukuru sana Mungu, nina rafiki yangu nae wakwenye mitala yaani yeye hata kuolewa imeshindikana, maana ni ameathirika sana, amekuwa too harsh.Pole...me wa mke mmoja na Mme mmoja ndani ya ndoa takatifu..asante Mungu kwa hilo.
Labda kwa nyie wanawake kwa wanaume tunapotezea na tusingeweza shuhudia hayo yakifanyika mbele ya macho yetuYes, ila kama umekulia katika familia za dizaini hii, mzigo ni mawazo, uchungu na chuki, havikai vikaondoka bila msaada wa maombi, watu psychology, na watu wanaofundisha mafunzo ya imani.
Maana kuishi kwenye familia za hivi haina tofauti na child abuse, tulikuwa abused psychologically, emotional, financial sasa unapoona au kushuhudia ugomvi baina ya wamama wawili watu wazima wakitukanana au mmoja kutukanwa inauma aisee. yaani mama yako anatukanwa na huwezi msaidia lolote, na hakosa lolote shida ni ku share mume tu, huo ni mzigo mzito sana vifuani mwa watoto wa pande zote.