Watoto wa mke mkubwa tukutane hapa

Sasa kwenye mitala ya ndoa kuna Yesu mkuu? hahaha
Ndo maana nimekwambia hivi dada yangu kama mngemupokea mtoto yesu wa nazareth hayo yote yasingetokea kabisa hata kidogo kwenye familia yenu.
Palipo na damu na yesu hakunaga mambo kama hayo
 
Kumbe kijana umeokoka
 
Kumbe kijana umeokoka
Hapana mkuu sijaokoka lakin natokea familia ya din sana upande wa baba na mama kuna mapdre na masister pia vile vile dada yetu mkubwa ambaye nimezaliwa naye tumbo moja yaan baba mmoja na mama mmoja naye pia ni sister wa kanisa katolik
 
Sasa wewe ilitakiwa uwe Padre
 
Duuh umefunguka hadi basi
 
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Duuh umefunguka hadi basi
ndo kupona kwenyewe dada, ukijifungia nayo moyoni unakua unatembea njiani unaongea mwenyewe, bora hapa una share shida na wengine, afu tunapata uponyaji kwa pamoja
 
Kwa kweli...mimi mwenyewe kaniponya
 
Ndo maana nimekwambia hivi dada yangu kama mngemupokea mtoto yesu wa nazareth hayo yote yasingetokea kabisa hata kidogo kwenye familia yenu.
Palipo na damu na yesu hakunaga mambo kama hayo
hiyo labda baba angempokea Yesu asinge owa mke wa pili, mama yangu mpaka anaingia kaburini ni ana Yesu hadi walihisi amechanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…