Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Balikiwa sana kaka yanguBeira Boy+Yesu safi sana dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balikiwa sana kaka yanguBeira Boy+Yesu safi sana dogo
Ndo maana nimekwambia hivi dada yangu kama mngemupokea mtoto yesu wa nazareth hayo yote yasingetokea kabisa hata kidogo kwenye familia yenu.Sasa kwenye mitala ya ndoa kuna Yesu mkuu? hahaha
Kumbe kijana umeokokaNdo maana nimekwambia hivi dada yangu kama mngemupokea mtoto yesu wa nazareth hayo yote yasingetokea kabisa hata kidogo kwenye familia yenu.
Palipo na damu na yesu hakunaga mambo kama hayo
Hapana mkuu sijaokoka lakin natokea familia ya din sana upande wa baba na mama kuna mapdre na masister pia vile vile dada yetu mkubwa ambaye nimezaliwa naye tumbo moja yaan baba mmoja na mama mmoja naye pia ni sister wa kanisa katolikKumbe kijana umeokoka
Sasa wewe ilitakiwa uwe PadreHapana mkuu sijaokoka lakin natokea familia ya din sana upande wa baba na mama kuna mapdre na masister pia vile vile dada yetu mkubwa ambaye nimezaliwa naye tumbo moja yaan baba mmoja na mama mmoja naye pia ni sister wa kanisa katolik
Duuh umefunguka hadi basiSometime kuoa mke mwingine hufanywa na mtu kutokana na mateso ya mke ulonaye. But this isn't a ticket kutesa watoto.
Wanawake jitambueni acheni upumbavu.
Hata watumishi wa ustawi wa jamii jitambueni tabia zenu ziko wazi kuthamini wanawake kwa ujinga wafanyao.
Sihitaji kuleta case study hapa ukweli inahuzunisha.
Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kutegemea mteremko sasa akikuta utofauti au vyuma vikikaza usaliti mtindo mmoja mwanaume akijiongeza yeye anatumia watoto kama fimbo.
Mbona mnapoachika na kuzalishwa huko mnachakaa mno na wanaowachakaza hamuwafungulii mashtaka.
Wapo wanawake wanaonewa lakin ni wachache mno. Wanawake jitambueni unamwambia mme hela haitoshi wewe yako iko wapi uongeze ili itoshe.
Mungu aliposema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake mwenyewe hakika alilijua hili. Hakuna mwanaume anayevunja nyumba bali nyumba huvunjwa na mwanamke hiyo ndiyo principle ya Mungu wewe endelea kupinga maana ndiyo jadi yako.
wanaposema hakuna mkate mgumu kwa chai ujue hakuna mme mbishi kwa mke anayejitambua tatizo unaenda kuolewa hata wajibu wako huujui utaishia kuwa mama watoto badala ya mke. Wee mwanamke gani unachojua ni kuzaa tu hata mapenzi kwako ni zero umebaki kujivunia cheti cha ndoa sasa kopo limepata mfuniko wake baki na cheti chako uone mziki wake shankupe wewe.
Umepata mshahara huwezi kununua hata pedi yako hela hadi za mmeo kila kitu sasa usaidizi wako ni nini?.
Mme hata zawadi yako haijui wewe pesa yako haijulikani matumizi yake. Nakwambia utaendelea kuitwa mama watoto mke hawi kama wewe.
Unamkuta mwanamke kitandani yuko vizuri, chakula kwa wakati, msafi wewe kwenye gari tu ukipanua miguu watu wanasimama kukuachia kiti kwa uvundo bado majibu ya ovyo nakwambia utaishia kuzaa watoto kwenye mafungu kama mchicha usipojitambua shankupe.
Mwanaume hazoeleki ukimzoea mme ni ishara ya kubipu talaka. Unakuta mke anayokufanyia hadi ukiwa bafuni pekee yako unainua mikono juu kumwambia Mungu ulimchelewesha wapi huyu malaika?.
Jamani wanaume hatupendi kelele kila siku mtu unafungua kesi kitandani hatuvumilii ujinga huo. Wanawake badilikeni.
Siwez mkuu maana papuch nazipenda sanaSasa wewe ilitakiwa uwe Padre
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siwez mkuu maana papuch nazipenda sana
Nilitaka nishangae BB huyuhuyu au?Siwez mkuu maana papuch nazipenda sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] amenBalikiwa sana kaka yangu
Hahahaaaaa we acha tu pauch ni shida my sisterNilitaka nishangae BB huyuhuyu au?
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Loo! mama yangu alipata shida jamani, tumekulia katika huzuni kubwa sana, chakula kilikuwa kipo japo watoto wa nyumba ndogo walikuwa wanapata nyamanyama, sisi mboga mboga mama anachuma kwenye bustani maharage mtindo mmoja na maombi kwa sana.
Mama yangu alikuwa bi mkubwa, alikuwa mweusi mfupi, bi mdogo alikuwa mweupe mrefu, jamani alikuwa ana matusi mwanamke yule siwezi kumsahau ila nimesamehe. alikuwa anapenda ugomvi, anamtukana mama yangu, anamkimbiza ili wapigane mwee R.I.P mama yangu.
Baba nae alikuwa ametawaliwa na bi mdogo, yani bi mdogo alikuwa anaogopwa na baba kinoma, nyumbani hakuna amani hata chembe. mwe alitutesa alitutesa sana, Mungu amponywe maana bado lupo hai, ila naogopa hata kumwona
Hali hii imechangia familia yangu ya bi mkubwa kukumbwa na msongo wa mawazo, japo wote tumesoma hadi lavel za chuo, wengine diploma wengine form 4 tu lakini hakuna aliendelea kama watoto wa bi mdogo, kaka yangu mkubwa amekuwa mwalimu wa secondary kwa tangu ujana wake hadi uzeeni lakini kashindwa kusomesha watoto wake wawili wanahangaika tu
dada yangu mkubwa nae mtoto mmoja kasoma wengine wanaunga unga tu
dada yangu ninaefatana nae kapata kazi juzi na yupo kwenye 40s hajawahi pata kazi wala kunawili, kila mala alikuwa anaonekana kama analia hahaha, ndipo mimi nikaanza kumfundisha masomo ya kuachilia chuki, achilia hasira, achilia kila jambo linalokuumiza. Mimi pona yangu ni ibada na kusoma soma vitabu vya dini na meditation.
Watoto wa bi mdogo walisoma nao sawa sawa na natoto wa bi mkubwa, ila wao walikulia kwenye upendo hata kazi walipata mapema, maisha yao yalikuwa mazuri mpaka Magufuli alipoingia madarakani na wenyewe ndio maisha yao yaliingia dosali. Kuna waliopelekwa mahajamani kwa uhujumu uchumi, kuna walifukuzwa kazi sijui hata makosa yao.
Lala kwa amani mama yangu, nakukumbuka na nakupenda pia.
Karibu sana mtumishi...Injili yako ya MSAMAHA nimeipenda
usilie mkuu ni maisha tu hahah[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
ndo kupona kwenyewe dada, ukijifungia nayo moyoni unakua unatembea njiani unaongea mwenyewe, bora hapa una share shida na wengine, afu tunapata uponyaji kwa pamojaDuuh umefunguka hadi basi
Kwa kweli...mimi mwenyewe kaniponyando kupona kwenyewe dada, ukijifungia nayo moyoni unakua unatembea njiani unaongea mwenyewe, bora hapa una share shida na wengine, afu tunapata uponyaji kwa pamoja
hiyo labda baba angempokea Yesu asinge owa mke wa pili, mama yangu mpaka anaingia kaburini ni ana Yesu hadi walihisi amechanganyikiwa.Ndo maana nimekwambia hivi dada yangu kama mngemupokea mtoto yesu wa nazareth hayo yote yasingetokea kabisa hata kidogo kwenye familia yenu.
Palipo na damu na yesu hakunaga mambo kama hayo
There is no need for that, pia alishaachika kwa baba na aaliolewa kwingine, na kwenyewe kaachika....Jikaze nenda ukamsalimie tu
Hata vijana wanaocheza na ndoa zao wakiita michepuko or mala bla bla kibao wanaweza jifunza kituKwa kweli...mimi mwenyewe kaniponya