Watoto wa Mr. Ibu wakamatwa wakitoroka na Tsh. Milioni 153 za matibabu yake

Watoto wa Mr. Ibu wakamatwa wakitoroka na Tsh. Milioni 153 za matibabu yake

Mimi nlishasema siku navuta Uzi ndugu na Jamaa ntawafurahisha HASA watakapo taka bank statement.Kifupi watalia na Mengi siku hiyo.Dunia ya kipuuzi sana hii
 
Basi Diamond hakosei kumkana baba yake maana baba kama wewe mtoto akitoboa si atakulipizia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani muwe mnasikiliza taarifa ,suala la Diamond mbona lilishafungwa baada ya mama yake kudhibitisha Abdul sio baba mzazi wa diamond...baba yake anaitwa Nyange
 
Mimi nlishasema siku navuta Uzi ndugu na Jamaa ntawafurahisha HASA watakapo taka bank statement.Kifupi watalia na Mengi siku hiyo.Dunia ya kipuuzi sana hii
Hahahahahahaha umenichekesha sana mkuu,,ila ndio safi sana, ndugu wangese sana haswa wale maskini wenye hela za mawazo
 
Back
Top Bottom