SoC04 Watoto wa Mtaani waonekaniwe

SoC04 Watoto wa Mtaani waonekaniwe

Tanzania Tuitakayo competition threads

renaliskishenyi

New Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
2
Reaction score
1
“Watizamwe kwa jicho la huruma”
Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini.

Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna wahita omba omba, la hasha! si hivyo wote hao ni watoto wa mtaani ambao wanatumika na hao wachache kama chanzo mapato; wakizidi kuneemeka kwa jasho la wanyonge.

  1. Serikali itakapoyaona hayo; niwaombe kuja na mpango Mkakati wa kwenda kutazama na kuvirejesha vipawa hivi kwenye majukumu; moja ni shule na kazi itawafaa zaidi katika leo yao na kukidhi mahitaji ya baadae.
  2. Pili kuanzisha harakati za kushirikiana na Taasisi zinazojishughulisha na watu wenye mahitaji maalum katika kukusanya Data, hasa kujua idadi na pahala walipo.
  3. Tatu Serikali yenyewe kuwa na Taasisi itakayojishughulisha na watu wote wenye mahitaji maalumu, ikiwezekana kuwatoa pale walipo na kuwaendeleza katika fani mbalimbali.
Kwa kufanya hivyo TANZANIA mpya tuitakayo itakuwa bora zaidi na itawezekana.
- Kwa kufanya hivi;
Hatutakuwa na madaraja ya ki maisha kwani unapopunguza zaidi idadi ya watu wenye mahitaji maalumu kuwa tegemezi. Unapumguza umasikini.

Sisi kama jamii tuanze kukataa hali ya wao kuitwa watoto wa mtaani au omba omba, tuwaone ma. Champion kwa kuamini katika uwezo wao na kuwashika mkono.

Asante na Mwenyezi Mungu awabariki.
 
Upvote 2

🙏
 
Back
Top Bottom