Watoto wa obama ni '

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

it's summer now shule zimefungwa, au wanao wamebaki shuke kwa ajili ya mitihani ya darasa la 4?
 
Wanafundishiwa home kwao jaman achen hzo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Summer time shule zinafunga ndiyo, lakini pia isije kuwa syllabus wanaifanyia Ikulu, ambalo linaweza kuweka flexibility. Watoto wa rais mkubwa kuliko wote duniani hawezi kulea watoto kama ubarinolutu. Hapa kwetu kwenyewe watu na hela zao wanafanyia syllabus majumbani. Itakuwa huko?
 
Watt hao wanasomea hme, siajabu wanatembea na mwalimu wao kwenye ndege
 
Wivu bana, kama wewe umelelewa kipindi kile baba akirudi jioni unajificha lazima utataka na watoto wa wenzio waisha kama paka na panya. Kaka dunia imebadilika na wewe badilika kila mtu ana system yake ya kuendesha familia.
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Uliwahi kusikia kitu inaitwa "Home Schooling" wamarekani wengi wanapendelea hiyo system siku hizi
 
Wat if km ni distance learning. ??? Usishangae yale mapochi yao makubwa yana laptop...si lazima kila mtu akae darasani..kitu kinapigwa home...tena mtoto wa prezda wa usa
 
Nipigie simu sasa hivi.namba yangu +[1]202 367 2761.au nideep sasa hivi
 
Nipigie simu sasa hivi.namba yangu +[1]202 367 2761.au nideep sasa hivi

we washington umefikaje au umeenda kupeleka sembe(cocaine+ herohn), mana wabongo mnaokaa huko hamuaminiki. Ni dawa, uliberali, na ufuska
 
Watoto wa rais wanaweza kusomea hata nyumbani. Walimu wako kwenye trip pia
 
Ningepata kaupenyo ninge kagonga kale kadogo kamenonaje,kanaonekana wazi wazi kua katamuuuu
 
Nimekujibu ndugu yangu kutokana ulivyouliza.sasa mbona unakwenda kungine.mimi nimezaliwa huku.lakini wazazi wangu wote ni Watanzania.Naipenda sana Tanzania.mbona unakimbilia kuongelea pumba za madawa.?au ndio kazi zako wewe.nipe namba yako tuongee.Nitakupigia tuongee vizuri.Nimechoka kuandika hapa.
 
Kabla hujaandika usichokijua fanya reaserch kidogo, mitandao kila kona...Kwa taarifa tu wanasoma shule ambayo ni expensive na mabint wake wanalindwa na walinzi 11, ada ya mmoja ni takriban 100M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…