Watoto wa obama ni '

Watoto wa obama ni '

Shule zimefungwa. Kutembea na baba yao ni shule tosha, juzi kawapeleka Robben Island wameenda kuona alipofungwa Mandela, kabla ya hapo aliwapeleka Bagamoyo ya Senegal, haya maeneo watoto wengine watayaona kwenye kioo tu, wao wameenda.
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Marekani shule hufungwa kuanzia mwezi wa tano na hufunguliwa mwezi wa nane au wa tisa (kutegemea na school district n.k.).

Hivyo wenzio wako kwenye summer vacation sasa hivi.
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Naona unafikiria Kitanzania zaidi. Ni kwamba, Air Force One ina kila kitu ndani yake. Kuna lecture theatres, libraries, laboratories pamoja na lecturers ambao kazi yao ni kuwapatia elimu nzuri kuliko hata ile inayopatikana huko vyuoni kwao. Fikiria Air Force One siyo ndege kama ile Watz mliyombiwa itanunuliwa tu hata kwa kula majani. Hawa watu wametuacha mbali sana hawabahatishi kama shule za Kata.
 
syatem yao ya education ni tofauti na hiyo ya kwenu bongo mkuu!!!!
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

chezea airforce 1, kuna shule, viwanja vya michezo, nyumba za walimu na library...
hapo kila kitu wanatembea nacho.
 

hahahahaha tisha sana mkuu leo nimecheka sana deep hujui maana yake??? Ndo ulimbukeni kujifanya unajua kiingereza haya sasa umeumbukaaa

Kumbe OPERA MIN nalo ni jina duu ukistajabu ya Musa utayaona ya Firauni
 
Mimi nafikiri issue napa sio watt to wa Obama wanasoma au la! Hao watoto inawezekana wanasoma tena katika shule kali tu na ni vichwa kuliko tunavyoweza kufikiria. La Msangi Hapa tujadili, je, ujio wa Familia ya Obama unaifadishaje Nchi yetu ya Tanzania kiuchumi?
 
Hiv wabongo ss tuna nn jamn eti
bila ata aibu Tunahoj Kuhusu watoto
wa obama wanavyo tumia ziara za
baba yaokutembea Et wanasoma saa
ngap hiv hil ni swal kwel Eeeh ?
Unajua ss wabongo hatujui maana ya
likizo za shule wala likzo ya ofixn
unakuta shule zinafungwa kama hiv
badala ya wanafunz kusafir ili
walifesh mind zao una wakutta
wanatafuta Sehemu pa kusoma tena
etI Wanaitwa Tution Daaa kwel leo
nimeamini Tz Tupo Dunia ya
3 ...........

Sifa ya binadamu ni kutofautiana mawazo na ndio maana kama wanadamu tuna utamaduni wa kufanya mikutano ili kuchanganya mawazo mbalimbali including wale wanaoonekana hawana mawazo productive though kwa upande mwingine nayo yanasaidia, kikubwa ni kumsaidia kujibu na uzuri mleta uzi amesema haelewi elewi wanasoma saa ngapi kutokana na mtoa mada ni made in Tanzania hivyo other issues za watu walio mbele hazijui kikubwa ni kumwelewesha kwani exposure inamfanya mtu abadilike kutokana na kukutana na watu mbalimbali pamoja na kutembea hivyo hata humu JF napo ni sehemu moja wapo ya kubadilishana mawazo japokuwa kuna wengine mnaona mawazo ya wengine ni nonsense but yanasaidia kwa namna moja ama nyingine kwani kutokana na uzi huu imejulikana shule imefungwa, kuna mdau mwingine amekuja na takwimu wanasomea nyumbani pia ada ya ni 100m na wana walinzi 11, tupo dunia ya tatu mkuu ina maana siku zote ulikuwa huamini unless kama kama unaishi Ikulu na ukisafiri unatumia boti kwenda ulaya na si kujichanganya na watz wenzako
 
Mbona wanatembea na madaftar yao? mimi ndo nimeteuliwa kumfundisha sasher tuishieni .
 
Mkuu hao wote wawili wanasubiria posta za FormV zitoke sababu zimechelewa, Pia naomba kwa mwenye link ya NECTA aweke tuone matokeo yao baada ya uchakataji.
 
Back
Top Bottom