Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
Nipigie simu sasa hivi.namba yangu +[1]202 367 2761.au nideep sasa hivi
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
hahahahaha tisha sana mkuu leo nimecheka sana deep hujui maana yake??? Ndo ulimbukeni kujifanya unajua kiingereza haya sasa umeumbukaaa
wee mtu nusu vp.mpaka aseme ndo ujuwe?.acha uongo mtu mzima .. umejuaje? alishawahi kusema..?
kwi kwi kwi .. muzee ya LIFLESHI TUTION
Ni REFRESH ...Mbona hata wewe umekosea sio LIFLESHI ni REFLESH
Hiv wabongo ss tuna nn jamn eti
bila ata aibu Tunahoj Kuhusu watoto
wa obama wanavyo tumia ziara za
baba yaokutembea Et wanasoma saa
ngap hiv hil ni swal kwel Eeeh ?
Unajua ss wabongo hatujui maana ya
likizo za shule wala likzo ya ofixn
unakuta shule zinafungwa kama hiv
badala ya wanafunz kusafir ili
walifesh mind zao una wakutta
wanatafuta Sehemu pa kusoma tena
etI Wanaitwa Tution Daaa kwel leo
nimeamini Tz Tupo Dunia ya
3 ...........
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
wee mtu nusu vp.mpaka aseme ndo ujuwe?.