Watoto wa obama ni '

Mkuu hao wote wawili wanasubiria posta za FormV zitoke sababu zimechelewa, Pia naomba kwa mwenye link ya NECTA aweke tuone matokeo yao baada ya uchakataji.

he kumbe kuna posta za form V dah nlikuwa sijui
 
Chezea ela wewe! wale shule yao ipo mule mule ndani ya pipa(ndege) ila sijui kama wanaelewa anasa zote hizo!
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Kwa wachovu wanaweza kuwa vilaza lakini kwa wenzetu tofauti mkuu. Hata walipokuwa hapa walikuja na mwalimu wao. Hivyo wakiwa trip wanapiga kitabu vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…