WATOTO WA SIKU HIZI NOMA

WATOTO WA SIKU HIZI NOMA

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
Jana mwanangu Mkundee aliniuliza swali la kizushi, Eti baba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia, Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu. Akaniambia majibu yako ndio ya kipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?

Tangu jana bado najiuliza nimekosaje swali kizembe? Sasa namtafutia sababu afanye kosa dogo tu nimchape bakora za maana kwa kunivunjia heshima.
 
Haha unalipiza,

Hapana mpe uhuru mfanye awe zaidi ya hapo alipo maana kama wewe kakuzidi akili bhasi atawazidi wengi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Usikute unaundugu na bashite na Huyo mtoto atakuwa si wako
 
Back
Top Bottom