Watoto wa siku hizi

Ni Nzuri sana hao wazazi akili KUBWA.
 
Lubuva alimwambia baba yake hivi '' Baba mimi nataka nimuoe mama yako?'' baba akakasrika kwelikweli kwa nini wewe mtoto unanikosea adabu?

Mtoto akajibu ''wewe mbona umemuoa mama yangu? na silalamiki?
 
Kuna mtoto mwingine alishuhudia Baba akimnyoa mke wake kwa mahaba mazito maeneo nyeti!

Kesho asubuhi mtoto akamsalimia baba yake "Shikamoo Kinyodhiii"
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…