Watoto wa Slaa ndani ya bunge

Hii nchi mida mingine sisi wananchi ni waajabu sana.Tunashindwa kupriotise mambo ya msingi.Nafikili jambo la kwanza ni kuweka sheria ya kuzuia mafisadi kugombea na si vinginevyo.
 

Vipi huyu alieko madarakani yeye hana?hoja nzuri zomba lakini huoni kama tutawanyima haki ya msingi ya kuongoza baadhi ya watu kwenye jamii, maana huku uraiani kuna watu makini sana ndoa zao zinaangukia kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kama ilivyokuwa kwa aliekuwa Padre (Slaa) japokuwa walitofautiana kitu ambacho ni kawaida kwa binadamu kutofautiana (hata Mandela anaeheshimika duniani ndoa yake iliingia utata akavuta kitu kingine). Kikubwa hapa inatakiwa tuweke kigezo cha awe na familia mambo mengine jamii husika itafanya judgement based on vigezo ambazo imejiwekea nazo si zingine bali ni mila na desturi maana the way I see mara nyingi watu wanaojulikana huwa inaonekana kama hawastahili kuwa na matatizo katika mahusiano wakati na wao ni binadamu kama wengine.
 
Last edited by a moderator:

jk wote kawa zaa na mama salma?
 
Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
hakutambuliswa mjukuu wake waliompata hivi majuzi kwa huyo binti yao?
 

umempa ukweli mkuu!! hii nafasi yake ndani ya JF ni ya kuangalia upya!
 
Ni vema wametambulishwa kwa sababu ni watoto wa rais wa Tanzania
 


Kwani rais wako anawatoto wangapi wa nje ya ndoa sie hatusemi???
 

huyo raisi wako jk hana watoto wa nje ya ndoa? Usiwe kama zuzu
 
Yah!......family of the next president after magamba 2015.
 

Kuna rais aliyepita alikuwa na watoto aliozaa na aliyekuwa mke wa mtu hapo awali, na hatimaye walikuwa wameachana kwa miaka mingi, alipo ingia madarakani wakarudiana, na kwa taarifa nilizo nazo ukiacha rais mwingine wa kwanza kabisa rais huyo wa awamu ya tatu ameonekana kuwa mchapakazi na makini, kuliko aliyefuatia mwingine ambaye hesabu ya wake zake hakuna anayeijua. Sijui mpaka hapo hiyo ulioitoa kama bado ni hoja
 
Kwani rais wako anawatoto wangapi wa nje ya ndoa sie hatusemi???
Wengi mmemuuliza Zomba hili swalina yeye akajifanya hapati internet ndio maana yuko kimya! Mi nadhani yeyote aliyemo humu JF na akawa anamtetea mkulu achilia mbali Chama chao cha Mabwepande akili ya huyo mtu haina tofauti na ya mifugo!
 

Mambo ya Walawi 20:10
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…