Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni watoto wa Rais we2 kupitia chama makini CHADEMA Kama hutaki achaMpaka sasa zijaelewa mantiki ya hii thread, umeleta ili tusifie uzinzi wa slaa au?
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

hakutambuliswa mjukuu wake waliompata hivi majuzi kwa huyo binti yao?Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
Sasa mkuu wewe Jamii forums imekupa heshima ya kushiriki katika mdahalo watu wanategemea mawazo ya kujenga kutoka kwako tunapoelekea siku ya mdahalo lakini bado unaendekeza tabia zako za kidini. nadahani JF wafikirie upya kukupatia nafasi hii kwa sababu hufai kwenye jamii ya watu wastarabu.
(Biblia) Kutoka 20:14
Usizini
Safi sn,makamanda wa kesho!
Ni vema wametambulishwa kwa sababu ni watoto wa rais wa Tanzania
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
hakutambuliswa mjukuu wake waliompata hivi majuzi kwa huyo binti yao?
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Safi sn,makamanda wa kesho!
Wengi mmemuuliza Zomba hili swalina yeye akajifanya hapati internet ndio maana yuko kimya! Mi nadhani yeyote aliyemo humu JF na akawa anamtetea mkulu achilia mbali Chama chao cha Mabwepande akili ya huyo mtu haina tofauti na ya mifugo!Kwani rais wako anawatoto wangapi wa nje ya ndoa sie hatusemi???
Kuna rais aliyepita alikuwa na watoto aliozaa na aliyekuwa mke wa mtu hapo awali, na hatimaye walikuwa wameachana kwa miaka mingi, alipo ingia madarakani wakarudiana, na kwa taarifa nilizo nazo ukiacha rais mwingine wa kwanza kabisa rais huyo wa awamu ya tatu ameonekana kuwa mchapakazi na makini, kuliko aliyefuatia mwingine ambaye hesabu ya wake zake hakuna anayeijua. Sijui mpaka hapo hiyo ulioitoa kama bado ni hoja