Vipi huyu alieko madarakani yeye hana?hoja nzuri
zomba lakini huoni kama tutawanyima haki ya msingi ya kuongoza baadhi ya watu kwenye jamii, maana huku uraiani kuna watu makini sana ndoa zao zinaangukia kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kama ilivyokuwa kwa aliekuwa Padre (Slaa) japokuwa walitofautiana kitu ambacho ni kawaida kwa binadamu kutofautiana (hata Mandela anaeheshimika duniani ndoa yake iliingia utata akavuta kitu kingine). Kikubwa hapa inatakiwa tuweke kigezo cha awe na familia mambo mengine jamii husika itafanya judgement based on vigezo ambazo imejiwekea nazo si zingine bali ni mila na desturi maana the way I see mara nyingi watu wanaojulikana huwa inaonekana kama hawastahili kuwa na matatizo katika mahusiano wakati na wao ni binadamu kama wengine.