ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.
Chaa nomarisaWewe ni mshamba flani ndege john nikikumbuka Uzi wako ngachoka kapisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anatuvuruga akili tu, juz kaomba ela ya gest akagegede leo amekuwa wa kishua tena,🗣️🗣️🗣️🗣️ povu kama loteWewe ni mshamba flani ndege john nikikumbuka Uzi wako ngachoka kapisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe juzi ulikuwa unalia huna hela ya guest na una madume watatu Leo umekuwa waki shua
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Mkuu Msamehe bure baba yake lemutuzWewe juzi ulikuwa unalia huna hela ya guest na una madume watatu Leo umekuwa waki shua
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa analia na ana madume watatu?!!!Wewe juzi ulikuwa unalia huna hela ya guest na una madume watatu Leo umekuwa waki shua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtoto Wa waitalaHii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.