Watoto wa vigogo(wakishua) tulioko jamiiforum tukutaneni hapa

Watoto wa vigogo(wakishua) tulioko jamiiforum tukutaneni hapa

Mshua mie mwenye vyangu nisiyetegemea nguvu za wazee wangu ingawaje ni matajiri balaa nipo hapa nabarizi na kudariz,aaaje aaje washua wenzangu????
 
Ndege John, yele madege yanazurula sana mkoa wa Shinyanga na vitongoji vyake
 
Wewe juzi ulikuwa unalia huna hela ya guest na una madume watatu Leo umekuwa waki shua

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom