Watoto wa wapigania uhuru wanapoingia kwenye masanduku ya marehemu wazee wao

Watoto wa wapigania uhuru wanapoingia kwenye masanduku ya marehemu wazee wao

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
WATOTO WA WAPIGANIA UHURU WANAPOINGIA KATIKA MASANDUKU YA NYARAKA ZA MAREHEMU WAZEE WAO

Nimepata kusema hapa siku chache zilizopita kuwa historia nyingi ya TANU na harakati za kupigania uhuru ipo katika mikono ya watu binafsi.

Kwa zaidi ya miaka 20 nilikuwa natafuta picha ya Ismail Bayumi bila mafanikio.

Siku chache zilizopita nililetewa na mtoto wake picha moja ya marehemu Ismail Bayumi na nikaiweka hapa.

Leo tena kaniletea picha ambayo kwa hakika nimeipenda kama alivyoipenda huyo mwanae aliyerusha picha hii.

Ismail Bayumi aliyefungua ''front,'' ya Tanganyika Mombasa kupambana na Waingereza Kenya ni huyo hapo chini:

May be an image of 1 person and standing
 
Back
Top Bottom