Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
The kid is troubled.mkuu mtoto wa kiume anavaa nguo za kike hadi anapata mkataba wa kutangaza nguo za wasichana
we unaona ni 'normal'?
Mara chache tu online natazama tazama
kuna kitu sijakielewa Jada na Will
mara nilisikia ni open relationship mara hivi
halafu inaonekana kama yule mtoto wa kwanza ambae hakuzaa na Jada yuko okay tu
ila hawa ndo 'too spoiled'
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
Medina kushoto.
Labda ni mbinu ya kujipatia shekeli tu hiyo.mkuu mtoto wa kiume anavaa nguo za kike hadi anapata mkataba wa kutangaza nguo za wasichana
we unaona ni 'normal'?
Chokoraa ni homeless, no food nk.Hao watoto kama machokoraha.
Huyo mmoja ni shoga mtarajiwa
Bossman kumbe unasomaga NY Post?
Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.
Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.
Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
Uwii shoga maneno hayo wewe kama mwanamke utazaa pia..taratibu..Hao watoto kama machokoraha.
Huyo mmoja ni shoga mtarajiwa
Inaonekana una chati na mtu ila hujui ku qouteMuda wenyewe mbaya huu hahaaaa
Ushaanza kuwashwa sehemu zako eee,na hapa nimefanya nini?Inaonekana una chati na mtu ila hujui ku qoute
Ebana eeh!.....hivi hata huyo DAVID LETTERMAN ni bwabwa?...huyu mzee namuonaga mstarabu kweli...ngachoka mie!Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
Medina kushoto.