Watoto wa Will Smith na Jada

Watoto wa Will Smith na Jada

teh teh Will kawanywesha wanae sumu gani? teh teh teh itakuja muua mwenyewe
 
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
willsmithkissesdavidletterman1.jpg

305A708F00000578-3412719-image-a-13_1453504969751.jpg

Medina kushoto.
 
Mara chache tu online natazama tazama
kuna kitu sijakielewa Jada na Will
mara nilisikia ni open relationship mara hivi

halafu inaonekana kama yule mtoto wa kwanza ambae hakuzaa na Jada yuko okay tu
ila hawa ndo 'too spoiled'

Will na Jada wako eccentric.

Na kama sikosei ni waumini wa Scientology.

Hiyo ya uhusiano/ ndoa huria nilishaisikia pia.
 
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
willsmithkissesdavidletterman1.jpg

305A708F00000578-3412719-image-a-13_1453504969751.jpg

Medina kushoto.

Ahh mimi nilisikia rumours za yeye na Duane Martin nika assume ni rumuors
hizi za Madina ndo nasikia now
 
mimi naona huyo mwandishi wa nypost labda anawaonea wivu hao watoto, kwasababu yeye mwenyewe hakupata chance ya kuwa spoiled na wazazi wake
 
Their attitude towards life reflects what they have been taught by their parents, Smith says Jaden is fearless and it is scary i find this stupid because how on earth a child as young as Jaden can go out of control afu mzazi ashindwe kumshape??! Maybe uzungu nao unachangia....

Kibongobongo anachezea bakora za mzizi wa mpingo mpaka anakaa sawa!!!😳😳
 
Bossman kumbe unasomaga NY Post?

Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.

Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.

Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.

Mkuu hivi ni kweli huyu Smith na mkewe wameruhusiana kuwa kila mtu anaweza kuwa na mchepuko bila tatizo au ni story ya kijiweni?
 
wanaamini music na vitabu vyoote vilivyowahi kuwepo huku duniani hamna chenye maana so wanatunga music wao na kutunga vitabu wenyewe..
this is bullshit..
 
Wamewalelea vbaya tangu utoton hata yule wakiume kuvaa nguo za kike mdingi alichukulia powa lkn wazaz ndo wanawaharibu watoto hawaweez kuwakanya
 
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
willsmithkissesdavidletterman1.jpg

305A708F00000578-3412719-image-a-13_1453504969751.jpg

Medina kushoto.
Ebana eeh!.....hivi hata huyo DAVID LETTERMAN ni bwabwa?...huyu mzee namuonaga mstarabu kweli...ngachoka mie!
 
Back
Top Bottom