hahahaSi juzi kati tu hapa huyu jamaa alimtembezea kichapo shoga mmoja baada ya kubusiwa...
...imekuwaje tena
Hao watoto kama machokoraha.
Huyo mmoja ni shoga mtarajiwa
Ebana eeh!.....hivi hata huyo DAVID LETTERMAN ni bwabwa?...huyu mzee namuonaga mstarabu kweli...ngachoka mie!
Waaoow!... Thanx so much,password please?witnessj Mission 1 a completed please activate mission 2 now!!!!!
use MABIBO123 (case sensitive)Waaoow!... Thanx so much,password please?
DONE!. 10xuse MABIBO123 (case sensitive)
Aisee hii picha yako imekutoa kweli kweli lkn hivyo viatu na hio miguu ndio imekata stimu kabisa.Bossman kumbe unasomaga NY Post?
Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.
Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.
Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
Si afadhali huyo Analipwa! Sasa jitu zima km Nyani ngabu linavaa kwa kupenda. Halafu ukilikataza matusi litakalo kutolea lzm utoke mbio.hao watoto acha tu
wa kiume anavaa nguo za kike hadi kupewa mkataba wa kuzitangaza..
HahaaaSi afadhali huyo Analipwa! Sasa jitu zima km Nyani ngabu linavaa kwa kupenda. Halafu ukilikataza matusi litakalo kutolea lzm utoke mbio.
Acha Double standards