Watoto wa Will Smith na Jada

Watoto wa Will Smith na Jada

Bossman kumbe unasomaga NY Post?

Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.

Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.

Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
Aisee hii picha yako imekutoa kweli kweli lkn hivyo viatu na hio miguu ndio imekata stimu kabisa.

Teh teh teh teh.
Toto Shavu dodo.
e432633e7872ebdff234902b06269821.jpg
 
mkuu mtoto wa kiume anavaa nguo za kike hadi anapata mkataba wa kutangaza nguo za wasichana
we unaona ni 'normal'?


The Boss naona kwa Hollywood hii ni normal. Seems like they live in a different world from the rest of us.
 
hao watoto acha tu
wa kiume anavaa nguo za kike hadi kupewa mkataba wa kuzitangaza..
Si afadhali huyo Analipwa! Sasa jitu zima km Nyani ngabu linavaa kwa kupenda. Halafu ukilikataza matusi litakalo kutolea lzm utoke mbio.


Acha Double standards
 
Back
Top Bottom