Nimeamini kuwa watoto wachanga katika umri wao uona mengi sana ikiwa ni pamoja na kuwaona malaika na kucheka nao,ilikua hivi miezi mi 2 iliyopita Mungu kamjalia best yangu na kupata mtoto wa kike sasa huyu mtoto kila akilala usingizi mzito uwa anaota na kuanza kucheka anafurahi sana usingizini anatabasamu imethibitika kuwa uwa anawasiliana na Malaika wake ambao umfurahisha na kumchekesha.