tomjelly
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 560
- 198
basi inaelekea umesahau
dah inawezekana. na naanza kuamini kwani hii sio mara ya kwanza kusikia hiki kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi inaelekea umesahau
dah inawezekana. na naanza kuamini kwani hii sio mara ya kwanza kusikia hiki kitu.
mkuu watoto wachanga wanaona vingi sana vingine ukiambiwa ni ngumu kuamini
Nimeamini kuwa watoto wachanga katika umri wao uona mengi sana ikiwa ni pamoja na kuwaona malaika na kucheka nao,ilikua hivi miezi mi 2 iliyopita Mungu kamjalia best yangu na kupata mtoto wa kike sasa huyu mtoto kila akilala usingizi mzito uwa anaota na kuanza kucheka anafurahi sana usingizini anatabasamu imethibitika kuwa uwa anawasiliana na Malaika wake ambao umfurahisha na kumchekesha.

Neno (IMETHIBITIKA) unalitumia vibaya.
Kama ni kweli tuambie malaika huyo alikuwa wa aina gani au alikuwa anamchekesha mtoto kwa kumfanyaje. Pia utueleze alikuwa anaelea angani au alikuwa amelala nae kitandani?.
Taratibu jamani tumuendee kwa upole na hekima huyu mtu. inaonekana kuna kaelimu anako. atumegee kidogo. hamuoni kasema IMETHIBITIKA
Hahahahahahahahahahahuyo ni malaika mtoa roho
acha kuongea utoto basi kwa watu wazima!Ka-clip basi ili tuamini manake wengine hapa matomaso