weka video hapa nasi tuthibitishe na tuconfirm
Mbona hawa hawa watoto hucheka hata na nyoka? Hapa inakuwaje?
Muulizeni malaika wake anaitwa nani
kwahiyo mtoto kutabasamu akiwa amelala inamaana kwamba anaongea na malaika???
Bonge la risechi aisee..... hongera kwa utafiti makini ....
Mbona hawa hawa watoto hucheka hata na nyoka? Hapa inakuwaje?
So what???
Nimeamini kuwa watoto wachanga katika umri wao uona mengi sana ikiwa ni pamoja na kuwaona malaika na kucheka nao,ilikua hivi miezi mi 2 iliyopita Mungu kamjalia best yangu na kupata mtoto wa kike sasa huyu mtoto kila akilala usingizi mzito uwa anaota na kuanza kucheka anafurahi sana usingizini anatabasamu imethibitika kuwa uwa anawasiliana na Malaika wake ambao umfurahisha na kumchekesha.
makubwa!!! Mimi, july 1994 tu hapo nlikua kichanga mbona ckuwaona hao malaika? Acha hzo ww
Kwa mpango huo malaika wangu atakua mbali sana na mimi sio ajabu hana hata kumbu kumbu kabisa dhambi hizi!¿?