Karibu pia kuwavalisha nguo zinazoendana na hali ya hewa. Masweater wakati wa baridi pamoja na viatu na socksAsante Sky.
Immune system ya watoto chini ya miaka mitano bado inajijenga na katika kipindi hiki watoto wanapata chanjo pia za secondary immunity.
Chakula bora ni muhimu katika kipindi hiki