WATOTO WADOGO KUUGUA.

WATOTO WADOGO KUUGUA.

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
6,280
Reaction score
5,979
Napenda kujua.Kipindi baada ya mvua kubwa za April kunyesha,watoto wengi chini ya umri wa miaka mitano(5 years) hushambuliwa na magonjwa yanayohusu mfumo wa upumuaji( mafua, kikohozi pneumonia ( nimonia) malaria na kuharisha.
Wazee wanasema ni kubadilisha hali ya hewa( climatic change)
Nini kinasababisha haya?
 
Immune system ya watoto chini ya miaka mitano bado inajijenga na katika kipindi hiki watoto wanapata chanjo pia za secondary immunity.

Chakula bora ni muhimu katika kipindi hiki
 
Asante Sky.
 
Kuna Mtu aliwahi kuuliza Upande wa Kaskazini Tanzania inapakana Na Nchi gani akajibiwa 1964 Tanganyika iliungana Na Zanzibar ku form Tanzania
 
Back
Top Bottom