Watoto waendelea kuchinjwa Tanzania kwa sababu za kishirikina

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi taarifa za watoto kuchinjwa chinjwa Tanzania zinaogofya sana.

Majirani zetu hawa wakiambiwa wanaongoza dunia kwa kutokua na furaha, wao hujitetea iweje Somalia wawe na furaha zaidi yao, hujitetea kwa kutumia Syria, Libya na kwengine, wanakosa kuelewa hamna kitu hunyima mtu raha kama kuishi kinafiki albino wanachinjwa, watoto wanachinjwa kisa ushirikina wa kutafuta utajiri.
Matukio mengi kwao hufanyika kimya kmya watu wanaumia kindani ndani ya kuficha.
Kingine, hakuna kitu hunyima mtu raha kama imani za kishirikina, wao wanaongoza kwa ushirikina na hiki kitu ni kibaya sana maana hulka za washirikina ni maisha ya chuki chuki, majungu na machungu, ukijenga nyumba matofali inabidi kwanza ujilinde usije ukarogwa, mwanao akifanikiwa mjini, inabidi siku akikutembelea kijijini asionyeshe dalili za mafanikio, maana mtarogwa nyote.
Maisha ya kitumwa.
-------------------
Parents of two children who died in mysterious circumstances have called on the government to investigate the causes of their deaths and bring suspects to book.
The parents were speaking at their home at Kizwite in Sumbawanga on Monday.
Mr Kipara Mwambage, whose children, disappeared before two of them were found dead in an unfinished building, urged authorities to thoroughly investigate the matter.
The children disappeared on Thursday after breakfast. He reported the incident to a police station and later continued on looking for them.

Ritual killings shock Sumbawanga
 
Yule jamaa wenyu wa loliondo aliendanga wapi?
MK254 tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi then utapata mrejesho

ILa please unaweza angazia kule Turkana nasikia vichanga ndio mlo wa watu wahuko njaa ni mbaya mno kule

Hebu fanyaia utafiti na hili ili twende sawa.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa ya siku nyingi hii, tokea mauaji yale ya awali yatokee hayajajirudia tena na watuhumiwa walishakamatwa, wapo kortini
 
May the souls of these little angels rest in eternal peace!
 
Man eat child society. Yote kwasababu ya imani za kishirikina, kwenye karne hii! Ila usitegemee kwamba huu ushetani utaisha hivi karibuni. Wanaokuza na kuendeleza huu uovu ni wale wale, wanasiasa na viongozi wa ngazi za juu kabisa serikalini.
 
Do you really know how to read? The article in ya 26th March, 2019
Taarifa ya siku nyingi hii, tokea mauaji yale ya awali yatokee hayajajirudia tena na watuhumiwa walishakamatwa, wapo kortini
Anyway where do you fall here?
IMG_20190326_003205.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi taarifa za watoto kuchinjwa chinjwa Tanzania zinaogofya sana.

Majirani zetu hawa wakiambiwa wanaongoza dunia kwa kutokua na furaha, wao hujitetea iweje Somalia wawe na furaha zaidi yao, hujitetea kwa kutumia Syria, Libya na kwengine, wanakosa kuelewa hamna kitu hunyima mtu raha kama kuishi kinafiki albino wanachinjwa, watoto wanachinjwa kisa ushirikina wa kutafuta utajiri.
Matukio mengi kwao hufanyika kimya kmya watu wanaumia kindani ndani ya kuficha.
Kingine, hakuna kitu hunyima mtu raha kama imani za kishirikina, wao wanaongoza kwa ushirikina na hiki kitu ni kibaya sana maana hulka za washirikina ni maisha ya chuki chuki, majungu na machungu, ukijenga nyumba matofali inabidi kwanza ujilinde usije ukarogwa, mwanao akifanikiwa mjini, inabidi siku akikutembelea kijijini asionyeshe dalili za mafanikio, maana mtarogwa nyote.
Maisha ya kitumwa.
-------------------
Parents of two children who died in mysterious circumstances have called on the government to investigate the causes of their deaths and bring suspects to book.
The parents were speaking at their home at Kizwite in Sumbawanga on Monday.
Mr Kipara Mwambage, whose children, disappeared before two of them were found dead in an unfinished building, urged authorities to thoroughly investigate the matter.
The children disappeared on Thursday after breakfast. He reported the incident to a police station and later continued on looking for them.

Ritual killings shock Sumbawanga

Nafikiri aliyefanya research ya nchi ipi yenye furaha hakuipitia kenya vizuri, iweje watu wanakufa njaa live na wengine kula vichanga na wengine kunywa maji tope na watu hao wawazidi Tanzania kwa furaha. I guess that research was fek
 
I have always said Danganyikans are dirty evil pretenders,,,afadhali ukuwe mbaya ijulikane than to hide under some unquantifiable objectives like ooh peaceful ooh this bluh that.....
 
Acha wivu 😜😜 ofcourse Tanzania is a Very peaceful country...🇹🇿🇹🇿
 
MK254 tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi then utapata mrejesho

ILa please unaweza angazia kule Turkana nasikia vichanga ndio mlo wa watu wahuko njaa ni mbaya mno kule

Hebu fanyaia utafiti na hili ili twende sawa.

Asante
WTF??? Why would someone choose to display his foolishness like this? It's crystal clear that you have zilch in that skull of yours.A Kenyan would rather die than practise cannibalism.Sometimes I wonder if your land was arid like Kenya there would only be a few remnants residing in that country.
Mnakulana mkiwa na chakula mkikabiliwa na janga la njaa si mtakulana sana jamani!
 
Acha kulia lia boss

Kabla hujatoa kiabanzai kwneye jicho la mwenzio toa kwanza chakwako

Wakenya mnamatatizo mengi sana ila manaficha mnaogoapa dunia itawaonaje,

Mnapenda kusifiwa tu,kila siku mnaamka mnayaona mabaya ya Tanzania tu ila ya kwenu kapuni,,,

practise cannibalism hii inafanyika tatizoa vyombo vyenu vinaona aibu kuandika ila Albino wa Tz wakifa mnaona watoto wa tz wakichinjwa mnaona,

Hebu fanyeni yenu kwnaza,,,
 
Tuna mapungufu mengi lakini cannibalism si mojawapo. Najua unajilkiwaza kwa kusema kwamba wakenya ni wala watu.
Mtu akila binadamu mwenzake si rahisi kuacha.Yafaa mtafute suluhisho haraka iwezekanavyo ili kudhibiti haya mauaji .Mnaweza mkafungia hawa walaji watu mahala Fulani and turn them into vegetarians.wasiwahi ona hata nyama ya pweza tena
 
Back
Top Bottom