Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu naomba ajiraMwezi wa 9 nilikwama ktk nchi jirani ambapo nilipeleka mzigo vijijini huko, gari ilinasa ktk kijiji kimoja nilikaa hapo siku karibia nne kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha huko. Nikaishiwa chakula chote, akapita mzee mmoja anauza mihogo mikubwa kweli kweli na kwa kuwa nilikuwa nna njaa basi nikanunua ya buku kwa pesa ya kwao, dah ilikuwa ni michungu sipata kuona, nikaghair nikahisi hii ndio ile niliyokuwa nasikiaga inaweza ikawa ni sumu. Ckuitupa nikaiweka pembeni lakin kadri njaa ilivyozidi usiku niliishughulikia tu hivyo hivyo nikasema kama ni sumu basi mm nafia huku nchi ya watu. Nashukuru kwa kweli iliuvusha ule usiku na kesho yake nikafanikiwa kutoka lile eneo. Lakini ki ukweli ni vigumu sana kujua muhogo upi ni salama na upi si salama mpaka uwe unaijuaView attachment 1290483
Mkuu mimi mwenyewe naunga unga tu, ukitoka kazi zote unafanya mwenyewe kidogo ndio unaweza kupunguza makali ya haya maisha, biashara unafanya, ufundi unafanya, ikibidi kulima unalimisha, tupo kama charge ya pweza.
KayebaMihogo yenye sumu inapatikana sana maeneo ya kahama miti yake inakuwa mikubwa kiasi kwamba ukiwa unachuma kisamvu chake itakulazimu upande juu jina limenitoka kidogo ila kwa mwenye ufahamu wa jina atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 9 nilikwama ktk nchi jirani ambapo nilipeleka mzigo vijijini huko, gari ilinasa ktk kijiji kimoja nilikaa hapo siku karibia nne kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha huko. Nikaishiwa chakula chote, akapita mzee mmoja anauza mihogo mikubwa kweli kweli na kwa kuwa nilikuwa nna njaa basi nikanunua ya buku kwa pesa ya kwao, dah ilikuwa ni michungu sipata kuona, nikaghair nikahisi hii ndio ile niliyokuwa nasikiaga inaweza ikawa ni sumu. Ckuitupa nikaiweka pembeni lakin kadri njaa ilivyozidi usiku niliishughulikia tu hivyo hivyo nikasema kama ni sumu basi mm nafia huku nchi ya watu. Nashukuru kwa kweli iliuvusha ule usiku na kesho yake nikafanikiwa kutoka lile eneo. Lakini ki ukweli ni vigumu sana kujua muhogo upi ni salama na upi si salama mpaka uwe unaijuaView attachment 1290483
Nikapata na washkajiardhi ya Burundi hii mkuu, ulilipa noti imeandikwa AMAFARANGA IGIHUMBI-IBIKOGWA, UBUMWE, N' AMAJAMBERE.
karibu tena Gitega kwetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia nchini Tanzania, baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa ilikuwa na sumu.
DW imezungumza na Dr. Sadick Sizya kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na mihogo mibichi ama michanga.