Watoto wafundishwe dhana ya kinyaa

Watoto wafundishwe dhana ya kinyaa

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana.
Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi,

Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa lengo la kujifurahisha huyo hana kinyaa,
Kuna vichaa ambao hadi wanaweka ulimuli, huu ni ugonjwa wa akili kabisa.

Wazazi wajiepusho kutumia maneno haya na kuyafanya ya kawaida masikioni na midomoni mwa watoto wadogo, mfano
1. Nenda kany€ ×= nenda uani
2. Mav! ×= haja
3. chooni = uani/ short call
4. Kuny@ ×= kujisaidia

Mtoto ukijua kua eneo la hajakubwa ndo sehemu chafu na sehemu ya siri zaidi, hawezi kua na mazoea na maeneo hayo. Wengi wanaofanya uhuni hawana kinyaa
 
Kizazi chetu cha leo Mama aliyevurugwa akibembeleza mtoto aliyebeba mgongoni ili anyamaze.

"Kelele we nyau ku*a ny*o*o zako" [emoji28]
 
Back
Top Bottom