watoto wake

watoto wake

nenda kwenye marriage revival party kule kwa lwakatare, anaongelea madhara ya divorce na mambo yanayofanana na hayo kwa wanawake na wanaume kama unataka kusolve kiroho.

Huyo Lwakatare mwambieni kwanza aka-revive marriage yake mwenyewe akishafanikiwa ndio aje ahubirie wengine, tofauti na hapo ni wizi mtupu!
 
kama utakuwa na pesa, unaweza kumwona mwanasheria ukafungua fail incase unataka kusolve kibinadamu yaani kimwili. hapo unakuwa umeingia vitani ama zako ama zake. jino kwa jino yaani. na kwa hali unayoongelea, hauna kosa hata kama uliachwa kwa kosa lako wewe, mwanamme wako analazimishwa na sheria kumtunza huyo mtoto wako.kwani mlipopewa amri ya talaka watoto waliambiwa watatunzwaje? kwasababu mahakama inapotoa talaka(talaka zote lazima zitolewe mahakamani, sio nyumbani au sehemu za dini), mahakama iliarrange vipi watoto wataishi, na mali mtagawana vipi, ndio maana nilisema mwone mwanasheria. ila, kuna uwezekano mkubwa sasa kwako kushinda hiyo kesi, na utampiga faini na watoto wako watapata matunzo ya lazima, jamaa atalazimishwa auze hadi nguo zake lakini atoe matunzo kwa watoto wenu.

kama wewe ni mkristo, kwa sheria za kikristo, nakushauri mwombe Mungu ili mrudiane na huyo mumeo wa zamani. msameheane na mrudiane. talaka katika ukristo haipo, mkishaoana tu hakuna talaka hadi kufa. hivyo huyo bado ni mume wako, mwombe Mungu alainishe mioyo yenu ili mrudiane kama kwanza.mtu anayetoa talaka na kuoa au kuolewa na mtu mwingine, anazini. hivyo kama mliachana na mumeo wewe ukaolewa na yeye akaoa, bado mnazini kila siku, mbele za Mungu mnazini. mtapata raha lakini jehanum inawasubiria hadi hapo mtakaporudiana. huo ndio ukweli wa Bible.mwombe Mungu akusaidie upate njia ya kutokea.alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha.mtu atamwacha babaye na mamaye ataunganishwa na mumewe, na hao watakuwa mwili mmoja. hivyo, ndani ya mwili uliommoja(ndoa)mmoja ama ambaye ni kiungo kimoja kikiondoshwa mtu anakuwa kilema hata kama atajiona anafaidi maisha kwa magongo. Yesu alisema hakuna kuachana mkishaoana. na ndoa hata kama hamjaenda kanisani, wazazi wenu wakishawakubalia mkakaa pamoja kama mume na mke, tayari Mungu anaihesabu. katika kitabu cha Malaki Mungu anasema"nachukia kuachana", pia anasema anachukia mtu anayetoka nje ya ndoa/anayezini. Mungu huwa anachukua na anaadhibu watu kama hao.

naomba kuuliza swali, ni kweli mlioana? na je mlipewa talaka kweli? au mliachana tu. watu wengine kama mwanamme ameamua kumwacha bila hata talaka huwa wanasema wamepewa talaka kwakumaanisha kuachwa. talaka lazima itolewe na mahakama.hivyo ili wachangiaji humu ndani wakupe ushauri mzuri zaidi, wewe eleza vizuri kama ni talaka kisheria au ni kuachwa kwa kawaida. hata kama mtakuwa mlikubaliana wawili kwamba "bwana kila mtu achukue hamsini zake wewe ukakubali na yeye akakubali" hiyo sio talaka kama haijatokana na amri ya mahakama. lakini ni vizuri mkarudiana mtunze watoto wenu, ni kitu kibaya sana watoto kukua wakijua wazazi walishatalikiana, na mara nyingi watoto wanaokua na baba au mama wa kambo huwa si sawa kiakili na kimaendeleo na watoto wanaokuwa wakiuona upendo wa wazazi wote wawili. God bless you.

maelezo marefuuuu but hayamsaidii mtoa thread kutatua tatizo lake, kwa ujumla upo nje ya mstari.
 
Huyo Lwakatare mnamtaja kuwa ana Marriage Revival class of some sort inanipa shida kidogo. Tunajua Getrude ni Mluguru na aliolewa na mhaya the one Lwakatare!!!! ambaye nafikiri ni Auditor!! Ndoa yao iliishilia shiii kabisa. Kama siyo wizi mtupu mbona haja revive ndoa yake na Lwakatare???? Acheni utapeli jamani. Hizi dini or famously known as makanisa ya kirohi kazi kweli kweli!!!!! Kila mjanza akiamka leo anaandika proposal kichwani ya kuanzisha huduma ya kiroho or kanisa!!! Wajanza kweli maana hakuna kodi huko!!!! so wakiagiza bidhaa nje kwa mgongo wa kanisa hakuna kodi!!!!!! Sadaka na mafungu ya kumi hakuna kodi!!!! Hayo ni mapato wanatakiwa waripoti TRA!!!! Ili kuingia nyumbani kwa Mtume na Nabii Mwingira (anavyojiita) ni mageti matatu yote yana security!!!! Kitendawili!!!! Moyo unaenda mbio nikianza kutafakari habari za makanisa ya kirohoa ya siku hizi. Nabii wa kweli ni yupi. Msaada kwenye tuta.
 
bado sijui joe dav mwenyewe anakwambia ngurumo ya upako, sijui mwingine nani yule yeye anasema chakula cha roho....haaaa
 
sheria ya nchi matunzo sh 200 kwa wiki....................,,,
 
Back
Top Bottom