TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo.
Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama zao yamekuwa mwiba mkali sana kwako,kwanini uendelee kuyabembeleza?
Wanawake wengi mnapoachana iwe kwa talaka halali au ile ya kila mtu afanye yake wamekuwa wakiwapandikiza chuki kubwa sana watoto,unakuta pengine kosa lilikuwa lake lililosababisha ukamuacha ila utaundiwa zengwe kwa watoto kiasi kwamba wewe ndiwe uonekane mbaya.
Unakuta mitoto imesoma hadi level ya chuo ambapo tunaamini tayari ni mtu mzima wa kuchanganua mema na mabaya lakini hayatafuti ukweli yenyewe unakuta yanaegemea kwa mama yao kila wanaloambiwa utadhani makondoo.
Mara oooh baba yenu alinitelekeza nyinyi mkiwa bado wadogo akaenda kuoa mwanamke mwingine.
Kwahiyo ulitegemea mwanaume akuache halafu aendelee kukaa bila mke?,Mnapowaambia watoto kuhusu mabaya ya baba yao jaribu kuwaambia ni kwanini alikuacha akaenda kuoa mwanamke mwingine,usitake kuwajengea chuki watoto mwisho na wao wakaja kuwa kama wewe mwanamke uliyeshindikana.
Unakuta mwanamke umempa talaka tena yeye ndiye aliyekuwa akiililia akishinikizwa na ndugu zake lakini cha ajabu ukishaoa mwanamke mwingine atatafuta mawasiliano yake ili amjaze maneno ya uongo na kukutengenezea ubaya.Wewe uliililia talaka kwanini usiende kuolewa na mwanaume mwingine?,Kwanini pamoja na kuachwa lakini bado unajipendekeza pendekeza?
Ajabu ni kwamba unakuta mtoto amekuja kukusalimia akirudi kwa mama yake,mama yake anaanza kumuuliza kati ya yeye na mkeo mpya nani mzuri?
WANAWAKE mkiwajaza watoto chuki dhidi ya baba zao wala msije mkadhani mnamkomoa mwanaume,unajikomoa wewe na mitoto yako,mwanaume ataoa na atazaa sana tu kupitia mwanamke mwingine na atawajali watoto wa mke mwingine kuliko unavyodhani.
UKIKOSA BARAKA YA BABA UMEKOSA VYOTE,HUU NDIYO UKWELI.
Endeleeni kuwadanganya watoto.