Watoto wakikukataa mzazi achana nao upambana na maisha yako

Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo.

Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama zao yamekuwa mwiba mkali sana kwako,kwanini uendelee kuyabembeleza?

Wanawake wengi mnapoachana iwe kwa talaka halali au ile ya kila mtu afanye yake wamekuwa wakiwapandikiza chuki kubwa sana watoto,unakuta pengine kosa lilikuwa lake lililosababisha ukamuacha ila utaundiwa zengwe kwa watoto kiasi kwamba wewe ndiwe uonekane mbaya.

Unakuta mitoto imesoma hadi level ya chuo ambapo tunaamini tayari ni mtu mzima wa kuchanganua mema na mabaya lakini hayatafuti ukweli yenyewe unakuta yanaegemea kwa mama yao kila wanaloambiwa utadhani makondoo.

Mara oooh baba yenu alinitelekeza nyinyi mkiwa bado wadogo akaenda kuoa mwanamke mwingine.

Kwahiyo ulitegemea mwanaume akuache halafu aendelee kukaa bila mke?,Mnapowaambia watoto kuhusu mabaya ya baba yao jaribu kuwaambia ni kwanini alikuacha akaenda kuoa mwanamke mwingine,usitake kuwajengea chuki watoto mwisho na wao wakaja kuwa kama wewe mwanamke uliyeshindikana.

Unakuta mwanamke umempa talaka tena yeye ndiye aliyekuwa akiililia akishinikizwa na ndugu zake lakini cha ajabu ukishaoa mwanamke mwingine atatafuta mawasiliano yake ili amjaze maneno ya uongo na kukutengenezea ubaya.Wewe uliililia talaka kwanini usiende kuolewa na mwanaume mwingine?,Kwanini pamoja na kuachwa lakini bado unajipendekeza pendekeza?

Ajabu ni kwamba unakuta mtoto amekuja kukusalimia akirudi kwa mama yake,mama yake anaanza kumuuliza kati ya yeye na mkeo mpya nani mzuri?

WANAWAKE mkiwajaza watoto chuki dhidi ya baba zao wala msije mkadhani mnamkomoa mwanaume,unajikomoa wewe na mitoto yako,mwanaume ataoa na atazaa sana tu kupitia mwanamke mwingine na atawajali watoto wa mke mwingine kuliko unavyodhani.

UKIKOSA BARAKA YA BABA UMEKOSA VYOTE,HUU NDIYO UKWELI.

Endeleeni kuwadanganya watoto.
Na wewe baba kwa nini uwachokoze watoto wako? Hata maandiko yanakataza!
 
Attachments

  • Screenshot_20230417-172827_Biblia.jpg
    Screenshot_20230417-172827_Biblia.jpg
    74.8 KB · Views: 4

Umeeleza kitu real mkuu shida hiyo yote husababishwa na wanawake. Hawa viumbe huwamezesha sumu sana watoto hasa Endapo na wewe umepanic ukasitisha huduma hapo ndio utakuwa umeharibu kabisa

Utasimangwa kwa kila aina ya baya unalijua. Hawa uchawi wao wape pesa tu kwa sana hapo mtakuwa marafiki

Kingine usiopt haraka haraka kuachana. Ni Bora ukomae nae tu hata kama ni bichwa maji uende nalo tu hivo hivo kuepusha mbegu mbaya kwa watoto
 
Hata hvyo mzazi wa kiume siku zote ishi kama umekataliwa na wanao

Hata wanao wawe na mapesa kiasi gani usitegemee eti mzazi wa kiume utakuwa unapewa mapesa ya kukutosheleza
 
Kuna litoto limoja Hapa linanisumbua tu nishalitimua bado lipo sijui linangoja nini kila muda kununanuna tu.
Ngoja tu, siku ntagonga vyombo vyangu ndo atajua km kumbe ana baba Mwehu kabisa
 
Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo.

Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama zao yamekuwa mwiba mkali sana kwako,kwanini uendelee kuyabembeleza?

Wanawake wengi mnapoachana iwe kwa talaka halali au ile ya kila mtu afanye yake wamekuwa wakiwapandikiza chuki kubwa sana watoto,unakuta pengine kosa lilikuwa lake lililosababisha ukamuacha ila utaundiwa zengwe kwa watoto kiasi kwamba wewe ndiwe uonekane mbaya.

Unakuta mitoto imesoma hadi level ya chuo ambapo tunaamini tayari ni mtu mzima wa kuchanganua mema na mabaya lakini hayatafuti ukweli yenyewe unakuta yanaegemea kwa mama yao kila wanaloambiwa utadhani makondoo.

Mara oooh baba yenu alinitelekeza nyinyi mkiwa bado wadogo akaenda kuoa mwanamke mwingine.

Kwahiyo ulitegemea mwanaume akuache halafu aendelee kukaa bila mke?,Mnapowaambia watoto kuhusu mabaya ya baba yao jaribu kuwaambia ni kwanini alikuacha akaenda kuoa mwanamke mwingine,usitake kuwajengea chuki watoto mwisho na wao wakaja kuwa kama wewe mwanamke uliyeshindikana.

Unakuta mwanamke umempa talaka tena yeye ndiye aliyekuwa akiililia akishinikizwa na ndugu zake lakini cha ajabu ukishaoa mwanamke mwingine atatafuta mawasiliano yake ili amjaze maneno ya uongo na kukutengenezea ubaya.Wewe uliililia talaka kwanini usiende kuolewa na mwanaume mwingine?,Kwanini pamoja na kuachwa lakini bado unajipendekeza pendekeza?

Ajabu ni kwamba unakuta mtoto amekuja kukusalimia akirudi kwa mama yake,mama yake anaanza kumuuliza kati ya yeye na mkeo mpya nani mzuri?

WANAWAKE mkiwajaza watoto chuki dhidi ya baba zao wala msije mkadhani mnamkomoa mwanaume,unajikomoa wewe na mitoto yako,mwanaume ataoa na atazaa sana tu kupitia mwanamke mwingine na atawajali watoto wa mke mwingine kuliko unavyodhani.

UKIKOSA BARAKA YA BABA UMEKOSA VYOTE,HUU NDIYO UKWELI.

Endeleeni kuwadanganya watoto.
Acheni kijidanganya hakuna mtu anaweza kupandikiza sumu watoto wanamini wanayoyaona..wewe ni mzee umeachana na mkeo basi tunza wanao, watembelee shule, peleka nguo, madaftari, onesha upendo kwa wanao hawatakusahau katika kila step ya maisha yake una msupport hata kama mama yake akiwa anamuambia kwamba baba yako ni katili atakua anamuona snitch na wala hata kama mama akiwa anatupa vitu mtoto anaangalia. Siku akiwa mtu mzima atasema baba alikua anafanya hivi mama akawa anvaichoma'

Sasa wewe baba mtu mzima unaacha mtoto humtebelei hata kama huna pesa huonekani halafu kibaya zaidi unakuta mara nyingi baba anaishi eneo moja na ana maisha safi ila kukumbuka kwamba kuna mtoto hakumbuki,na kuna wengine hata wakifuatwa wanatoa majibu ya kejeli watoto wanakuangalia na watoto wanazoea wanakuona kama mtu wa kawaida,
Mtoto anapambana anavojua anasaidiwa na wau baki wewe mzee upo hata kujitikisa hakuna halafu akifanikisha ndio unasema mimi ni baba yako??? Ulikiua wapi siku za kutafuta hukuniona, huu upendo unaoutaka kutoka kwa mwanao mbona haukuwepo wakati wa shida??? Lazima asikuelewe WANAUME TUSIKIMBIE MAJUKUMU UMEZAA MTOTO TUNZA MSUPPORT
 
......all in all maisha yanatufunza mengi na bado tuna nafasi za kurekebisha, haijalishi uliyopitia ila usiruhusu kizazi chako kupitia the same thing....wengine tunatamani hata wangekuepo hao the so called bad fathers but ndiyo hivyo tena
 
STORY ZA BABA VS WATOTO...
  • Mama kafariki,,,
  • Baba kaoa tena,,,
  • Mama wa Kambo MCHUNGU kuliko klorokwin,,,
  • Machoni pa baba ni mwema,,,
  • Pembeni mkiwa nawe kizungumkuti,,,
  • Magomvi ndani hayaishi,,,
  • Baba anasema kwani mama yenu alikuwa anafanya nini ambacho huyu hafanyi,,,
  • (Baba hajui kuwa ye alipoteza MKE ila siye tulipoteza MAMA,,,
  • MKE anapatikana ila si MAMA),,,
  • Chuki zimedundulizwa pole pole mpaka zikajenga uadui,,,
  • Watoto na Mama wa Kambo mahasimu,,,,
  • Baba ni third party lakini ameegemea kwa Mama wa Kambo becoz umri umemtupa ni Senior Citizen hana income,,,
  • Mama wa Kambo ana vikundi mia kidogo na anataka watoto wake wawili wasomeshwe shule binafsi,,,
  • Tamaa za Mama wa Kambo kusomesha na kuishi kushindana na majirani wanaojiweza zimemfanya Baba kaweka nyumba bondi kwa benki na Microfinance,,,
  • Nyumba inataka kuuzwa baada ya deni kushindikana kulipwa baada ya mama kufilisi duka walilopewa na watoto wa MKE marehemu,,,
  • Baba anafosi watoto wa MKE marehemu walipe deni lilizaa mara 5 ya pesa walizopewa,,,
  • BABA SASA ANASEMA ATAWAPA LAANA WATOTO WAMEMTENGA....
 
Mwanaume usimpe mkeo hela ya ada, shopping, nk kwa ajili ya watoto chumbani, mpe mbele ya watoto waone. Wapo wanawake wenye sumu akienda shopping, au kulipa ada na mtoto au watoto uwalisha sumu. " Tazameni Mimi mama yenu ndie napambana angalia nawalipia ada, nawafanyia shipping baba yenu ni mlevi na malaya tu awajali" kama ulimpa pesa huku watoto wanaona akiongea utumbo huo mbele yao watamcrash watamproof wrong.
Nikuongezee hapo. Uwe makini na maneno yanayosindikiza hiyo hela. Isiwe km unawasimanga, isiwe km wamekubebesha mzigo...kumbuka familia sio mzigo.
 
Mwanamke anataka mkiachana uendelee kukaa tu bila kuoa,akisikia umeoa tu ndiyo chuki zinaanza na anaanza kuwamezesha na watoto.

Aliyekwambia kununua Gifts siku ya Birthday na kuwapelekea watoto ndiyo hawamezeshwi sumu ni nani?,Hivi wanawake unawajua au unawasikia?

Hata wewe ni mwanamke nafahamu na tabia zenu huwa zinashabihiana!

Sio gift tu, namaanisha uwe available kwenye maisha ya mtoto wako.

Sasa unakuta baba na mama mmeachana. Baba hauonekani kwenye kipaimara cha mtoto (kama ni mkristo) hauonekani hata kwenye ubatizo.

Hauonekani kwenye siku za wazazi shuleni.
Hauonekani kwenye graduation ya mtoto ya la saba.
Haujui hata mtoto kama amefaulu la saba.
Graduation ya mtoto ya form 4 na six hauonekani.

Akiumwa baba hauonekani.

Graduation ya chuo nayo hauonekani.

Unataka akutambue kama nani? Kama baba? Halafu useme kalishwa sumu na mama yake?

Achenj janja janja nyie.
 
Kuna litoto limoja Hapa linanisumbua tu nishalitimua bado lipo sijui linangoja nini kila muda kununanuna tu.
Ngoja tu, siku ntagonga vyombo vyangu ndo atajua km kumbe ana baba Mwehu kabisa

Sasa kama wewe ni mwehu” ulitaka uzae mtoto awe saint?? Shame!

Reap what you sow.
 
Si unakumbushia tabia za zamani tu,
Na kashapewa maisha yote anayohitaji muhimu bado ananiletea kisirani.
Mi nikae kindezi tu.
Ni kuachana kila mtu aendelee na maswala yake.
I need my freedom too
 
Ni kawaida ya Mwanamke mpumbavu kuzaa mitoto mipumbavu.

Hayo mengine ni kuwaonea tuu.
Mpumbavu hata awe na PhD upumbavu hauwezi kumtoka
 
Back
Top Bottom