Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Hamna kitu hapo ashukuru baba yake aliwatengenezea njia ya kufanikiwa .
Kwakuwa wenzake waliopata four ya 30 ndoto ziliishia hapo za kusoma.
Pia watoto wa Magufuli wamesoma kayumba primary maana Jeremiah kasoma feza na huyo Jesca Kamalizia form four st Marry je hizo ni st kayumba?
NakaziaUmaskini sio sifa njema.
Kibongo bongo huwa tunapenda kupata stories za mtu alie fanikiwa kwa tabu mno , ukileta stories za kuendeleza pesa za familia unaonekana kiazi tu , ingia kwenye peg za mo dewji uone anavyochukuliwa poa 🤔Darasa Moja wanafunzi 100 ndio kuwa Strong?
Mwaka mzima baadhi ya masomo unafundishwa topic moja ndio kuwa Strong?
Waalimu kutukana na kuchapa wanafunzi kama wendawazimu Ndio kuwa strong?
Watoto kushinda njaa shuleni ndio kuwa strong?
Umaskini sio sifa njema.
Ogopa shule ambayo wanasiasa au wenye vipato hawazipendi
Hamna kitu hapo ashukuru baba yake aliwatengenezea njia ya kufanikiwa .
Kwakuwa wenzake waliopata four ya 30 ndoto ziliishia hapo za kusoma.
Pia watoto wa Magufuli wamesoma kayumba primary maana Jeremiah kasoma feza na huyo Jesca Kamalizia form four st Marry je hizo ni st kayumba?
Kabisa na iwe ni kwa sababu za uchumi duni tu vinginevyo hakuna sababu ya kujitesa kutafuta pesa.kayumba sio mbaya kama baba ukiwa unamsimamia mwanao vizuri
Kibongo bongo huwa wanapenda kupata stories za mtu alie fanikiwa kwa tabu mno , ukileta stories za kuendeleza pesa za familia unaonekana kiazi tu , ingia kwenye peg za mo dewji uone anavyochukuliwa poa 🤔
Haya ndo mambo mnaweza kuwashika watu masikiomagufuli hajawai kutoa hela zake kusomesha shule expensive kama feza, huyo ni mtoto wa nje ya ndoa amesomeshwa na mama yake, single mother huwa wanapenda kujitutumua, ila baada ya magufuli kuwa rais serikal ndio ikampeleka feza maana ukiwa rais serikali inabeba majukumu yako ya ada za wanao kama benefit za urais
Basi zifutwe mkuuKayumba sio shule ni umaskini wetu tu 🤔
ZIBORESHWEBasi zifutwe mkuu
Na huu upumbavu ndo walikuwa nao wazazi wetu.Hizo ni fikra za Kimaskini.
Kwamba uteseke ndipo utoboe