Watoto wakisoma shule za St. Kayumba wanakua strong sana kichwani na wanakua na hekima msikilize Jesca Magufuli

hakika umesema hawa wa basi za njano wapo nyoronyoro sana jesca yupo vizuri
 
acha uongo hizi English medium zimekuja hivi karibuni tu, unataka kusema watu wengi hawajasoma hizo shule za kayumba
 
Yani uwe na simulizi ngumu ngumu , mara umekwepa mshale mara umekoswa na simba mara ulisoma na viraka , yani ilimradi kuwe na mtazamo hasi tu kwenye hadithi yako , ukisema umepitia kamserereko utaitwa mpka shoga

Ni hatari uwe maskini alafu uwe kichwani umebeba Kabati tupu
 

Hiyo ndio mindset za jamii zetu nyingi.
Kwao kuteseka ni sifa wakati sio.

Hata kazini ukute boss mwenye mtazamo huo alafu wewe ndiye mfanyakazi wake utakoma.
 
Acha Ushogamiti, nani alikuambia kuwa shule aliyosoma ni ya Kayumba ?
 
Ujinga mwingine wa Mtanzania huu hapa. Hizo Kayumba zinakupa maarifa gani kutatua changamoto za dunia ya sasa ya Sayansi na Teknolojia zaidi ya kukujaza maujinga tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…