zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwamba kayumba kuna maadili wakati watoto muda wote kuimba nyimbo za diamond na matusi juu. Malezi ni nyumbani, maana kama JPM alikua na pesa nyingi ila hakutaka ziwaharibu watoto ndio kiliwasaidia sio shule. Hizo kayumba ndio zinaongoza kwa watoto kuacha shule kisa mimba so sio mfano mzuri wa malezi au nidhamu.Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini kila hatua ya mafanikio yao.
Musikilize Jesca Magufuli. Maneno yake, msimamo wake, na hekima yake vinaonyesha wazi kuwa elimu ya msingi yenye maadili na kujifunza miongoni mwa jamii mbalimbali humjenga kiongozi wa kweli.
Usiogope kumpeleka mtoto wako shule ya kawaida. Pengine ndipo hekima yake na ujasiri wake vitakapozaliwa. Maisha hayahitaji tu maarifa darasani, yanahitaji pia tabia, heshima, na busara vitu ambavyo shule za kawaida mara nyingi huvipatia nafasi ya pekee.
Hana jipya uyu Dogo , mama ake hajawahi ita mahojiano , sasa yeye anakurupuka kutoka wapi?Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini kila hatua ya mafanikio yao.
Musikilize Jesca Magufuli. Maneno yake, msimamo wake, na hekima yake vinaonyesha wazi kuwa elimu ya msingi yenye maadili na kujifunza miongoni mwa jamii mbalimbali humjenga kiongozi wa kweli.
Usiogope kumpeleka mtoto wako shule ya kawaida. Pengine ndipo hekima yake na ujasiri wake vitakapozaliwa. Maisha hayahitaji tu maarifa darasani, yanahitaji pia tabia, heshima, na busara vitu ambavyo shule za kawaida mara nyingi huvipatia nafasi ya pekee.
Kasoma St Mathew kama sikosei ipo njia ya mkuranga kule. Na ndio matokeo yake ya 4:30 yakasambaa sana mitandaoni.ni uongo, jesca hajamaliza form st marys, weka ushahidi kamaliza form 4 st marys mwaka gani ?
Watoto wa shule za hadhi ya kati hata hawa bodaboda wa hovyo wanakaa mbali nao sio rahisi wawe na ukaribu kama kayumba.Kwamba kayumba kuna maadili wakati watoto muda wote kuimba nyimbo za diamond na matusi juu. Malezi ni nyumbani, maana kama JPM alikua na pesa nyingi ila hakutaka ziwaharibu watoto ndio kiliwasaidia sio shule. Hizo kayumba ndio zinaongoza kwa watoto kuacha shule kisa mimba so sio mfano mzuri wa malezi au nidhamu.
Malezi ni nyumbani
Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini kila hatua ya mafanikio yao.
Musikilize Jesca Magufuli. Maneno yake, msimamo wake, na hekima yake vinaonyesha wazi kuwa elimu ya msingi yenye maadili na kujifunza miongoni mwa jamii mbalimbali humjenga kiongozi wa kweli.
Usiogope kumpeleka mtoto wako shule ya kawaida. Pengine ndipo hekima yake na ujasiri wake vitakapozaliwa. Maisha hayahitaji tu maarifa darasani, yanahitaji pia tabia, heshima, na busara vitu ambavyo shule za kawaida mara nyingi huvipatia nafasi ya pekee.
Mbona mnapotosha, huyo Jesca alisoma Saint Mathew kabla hata ya Urais na siyo shule ya serikali. Kwani ni ubaya kama mzazi ana uwezo akikupeleka shule nzuri? Au umaskini na kusoma kwa shida ni sifa? Huyo JPM mbona alisoma mpaka Canada na Ujerumani ni mamilioni mangapi alilipiwa? Umaskini sio sifa, alikua na pesa kama mabepari wengine tu wa CCM msilazimishie alikua sijui mjamaa au hakuwa na mali n.kmagufuli hajawai kutoa hela zake kusomesha shule expensive kama feza, huyo ni mtoto wa nje ya ndoa amesomeshwa na mama yake, single mother huwa wanapenda kujitutumua, ila baada ya magufuli kuwa rais, serikali ndio ikampeleka feza maana ukiwa rais serikali inabeba majukumu yako ya ada za wanao kama benefit za urais. kwa ufupi mtoto huyo amesomeshwa feza na serikali ya Tanzania, sawa sawa na kikwete alivyosomeshewa watoto wake Feza na serikali