Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Natumaini mkopoa
Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi
Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri
NB
Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa nauliza maswali Kwa mama hiki vipi hiki sababu nn
Mamayangu ni mtu muwazi sana na
NAmi nimeviunganisha kuwa story fupi vipi maisha ya wazazi wangu yalibadilika baada ya kupata watoto
Ni true story
Sehemu ya 1
Mamayangu alichukuliwa na nduguzake kutoka mkoani kuja dar Kipindi hiko kutoka kijijini kuja mjini uwe na connections ya hali ya juu😀 sabbu ya umbali na barabara mbovu
Akafanikiwa kufika na kuanza Kuishi hapo
Jirani ya hayo maeneo kulikuwa na bar inasemekana baba ndo ilikuwa mitaa yake yupo hapo muda wote akitoka kazini
Mzee alikuwa mnywaji mzuri pia hakuwa na mke Wala mtoto alokuwa anaishi nae
Kuhus maisha yake ya nyuma
Alikuwa na mke na walipata mtoto mmoja wa kike ambae ni dadayetu miaka ya nyuma walikuwa wanaishi pamoja na huyo mama baada ya muda baba akapta safari kwenda kozi(sijui inaitwaje jina lingine ila wanajeshi wanaelewa)alkaa ka muda kidogo,alivorudi akakuta mkewe ameolewa na rafikiyake na wanaishi pamoja na mke ni mjamzito ana mimba ya yule rafikiyake
Ugomvi ulikuwa Mkubwa sana baba akaamua akamchukua mwanae akamuachia kilakitu yule mwanamke mtoto akampeleka Kwa wazaziwake
So akaamua kulea mwanae akiwa huko
Hivyo had anafikia umri wa miaka 41 hakuoa Tena Wala hakuwa na mtoto mwingine maisha yake Ilikuwa ni kazi na pombe
Tuendelee Sasa
Baada ya kukutana na mama
Mama akapata ujauzito wake wa kwanza ikawa ngumu sana sabbu alikuwa anaishi Kwa ndugu wakakubaliana wamrudishe kijijini Kwao ila baba akaamua kumchukua akajitambulisha na kuanza Kuishi nae na kulea mimba
Maisha yakaanza mzee alikuwa na kitanda kimoja Cha chuma nafikiria mnajua vile vitanda vya jeshin pamoja na vyombo vichache kipind chote Cha maisha yake hakuwa anafikiria chochote kuhus kuoa Wala kuwa na watoto Tena Ilikuwa akitoka kazini ni pombe
Mshahara ukitoka hakuna kinachofanyika had unaisha
Inaendelea ni fupi naimaliza soon