wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana.
Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na CONNECTION aidha uwe na mtu wa kukushika mkono au umjue wa kumpa rushwa uingie, Ni kweli wapo wanaoingia kwa vigezo lakini kwa kitakwimu ajira nyingi wanapata wenye connection.
Vijana wengi sana ni jobless wana diploma / degrees hadi masters, wakimaliza vyuo wataanza kuhangaika kutafuta ajira na kujitolea maofisni, kama ni biashara huwa ni ya kuzugia tu, wakifika 28 - 30 ndipo akili inastuka kuuona uhalisia mchungu muda unakwenda kwa speed, too bad hawana uzoefu wa kuhustle, wanapata wakati mgumu sana kujifunza ku hustle mara ya kwanza katika maisha yao.
Kuhustle lazima upitie changamoto ambazo mara nyingi huwa zinavunja mioyo na matumaini, ni advantage ukipitia hali hizi unapokuwa mdogo kuliko unapokuwa mtu mzima, ndio maana wahitimu wengi wakianzisha miradi au biashara wakipata changamoto kama kuibiwa, kula loss, n.k. huwa inakuwa ngumu kuinuka tena, wengi wanakata tamaa wanarudi mitaani, ni sawa na mtu ambae anaanza mapenzi ukubwani, akisalitiwa inakuwa ngumu kumove on tofauti na wale wanaoanza sekondari.
Watoto wafunzwe hata kusimamia vishughuli vidogo vidogo waijue complete process ya kuhustle mpaka kuyapata matunda, halafu pesa inapopatikana itumike au0 kujumuishwa kwenye ada za shule, mavazi, sometimes msosi wa familia n.k. wajue mapema nidhamu ya pesa kwamba inapatikana kwa jasho itumike kwa umakini (nidhamu ya pesa) na kuna mambo muhimu kuliko anasa za dunia
kama ni kulima wasiishie kushika jembe, wazijue gharama za kilimo mpaka hatua za kuyauza mazao baada ya mavuno, hata kama kalima robo ekari, pesa ikipatikana unampa aende kununua mahitaji ya shule, aujue uchungu wa pesa.
kama upo mjini wajifunze hata kutengeneza barafu wawe na jukumu la kuzitengeneza na kuziuza, wakitaka kitu fulani unatumia pesa yao.
Shuguli nyinginezo ni ufugaji, kupika, kufuma mikeka, udobi, ufundi, n.k.
Haialishi wewe ni tajiri kiasi gani, watoto wako at least wajue kutafuta pesa na wawe na niidhamu ya pesa,