Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Niliamua kuacha kutumia hiyo platform siku nyingiTwitter imekuwa mahali pa hovyo kabisa [emoji22][emoji22]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Twitter pamekuwa siyo kabisabila link au picha ambatanishu huu ni uongo
Hao unapiga mute unaendelea na mishe zakoTwitter imekuwa mahali pa hovyo kabisa [emoji22][emoji22]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Ila kizazi cha hovyo kipo kila mtandao nadhani hata hapa bila mods tungefika hukuNiliamua kuacha kutumia hiyo platform siku nyingi
kila kitu ni jinsi unavo kitumia,Ni kweli. Twitter pamekuwa siyo kabisa.
Amna mkuu sema nimeuliza tu maana kuna sehemu nimeyaona nikataka kujua tu labda yeye ndo wamemuiga au yeye kacopyMuhimu ni ujumbe wenyewe, au mwana hana huo uwezo? [emoji847] [emoji847]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Kwa kweli tunakoenda sio kabisaWAONGOZAJI MADANGURO ambao pia wana dhaminiwa na watu wa upinde wa mvua kwa maksudi kuharibu kizazi cha TANGANYIKA wanalipiwa bando na posho kila usiku huku wakiwa kila mtu na akaunti zisizopungua 10 na kila moja ipo active, hawa WATOTO WAMELALA wanaposti picha za wanawake ama wakiwa uchi ama nusu uchi lakini picha yenye kuamsha nyege na kuwafanya wanaume wawe addicted na dopamine zao kushukuka na kuingia kwenye ushoga, kupiga punyeto maana wanaangalia piacha za kutamanisha na pia kuharibu kizazi.
Ulevi, Uvutaji Sigara, Shisha, Vapers ponograph, Punyeto imekuwa kitu cha kawaida kabisa kwenye jamii ya leo.
No one is even seing them as dangerous as they are as the matter of fact ponography peke yake iko at its highest peak interms of viewers(watoto wamelala.
Vaping imewatengenezea wachina pesa nyingi lying kwamba ni flavors while their just cheap packed chemicals to lower your dopaminemiaka ya sasa hivi kumkuta 17 years young man ni mlevi kupindukia imekuwa fashion ,no one is worried about the next 20 years!! ofcoz Globalization.
ila ukweli ni kwamba kama hauko on your best in life na unataman kuwa sikumoja na bado uko na mojawapo ya addction hizo au zingne ambazo generally will lower your dopamine you have to ask yourself if your serious enough about your life.
Mafanikio yoyotenh wether ni trading au any other carrier yanahitaji sacrifise ,discipline,consistency as an individual na huwez kufanya hvo ukiwa under addiction we all know that .
Tuwapinge hawa WATOTO WAMELALA, turiport tweet zao na mitandao yote na si wenzetu, wametumwa kuharibu kizazi
joined december 2020, form four si mna mtihani wa MOCK? kajisomee.Mkuu haya maneno umeandika wewe au kuna sehemu umecopy?
sasa mimi kuuliza kuna ubaya gani meuliza umeandika wewe au nilipoona ndo wamekucopy?joined december 2020, form four si mna mtihani wa MOCK? kajisomee.
Kwa akili ya kawaida kama ulisoma mpaka darasa la 3 , hiyo picha ina uwiano wowote? Na kama ipo, huyo mtoto anaelewa hata akiona uchi wa mzazi wake? ana hisia? Hebu tuwalee wajukuu na watoto wetu, tunaharibu sisi wenyewe kwa upiuzi wetu then tunasingizia wazungu.watoto wenyewe ndio kama hao?
View attachment 2628383
Haelewi anadadisi.Kwa akili ya kawaida kama ulisoma mpaka darasa la 3 , hiyo picha ina uwiano wowote? Na kama ipo, huyo mtoto anaelewa hata akiona uchi wa mzazi wake? ana hisia? Hebu tuwalee wajukuu na watoto wetu, tunaharibu sisi wenyewe kwa upiuzi wetu then tunasingizia wazungu.