Watoto wameshalala ni kampeni ya kuchocheo mmomonyoko wa maadili

Twitter huko kumenogaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee umeongea jambo la msingi sana, hasa kule twitter kila ukifungua unakutana na huo uzi. Kwa kusema madhara yake umesaidia kuwaamsha watu kuwa makini na kuangalia aina hiyo ya maudhui ili wasije kujiharibia kesho yao....
 
Nchi hii ujingujing unapewa kipaumbele

Ova
 
Umekosa kazi ya kufanya,acha kupangia watu maisha hangaika na familia yako.
 
Nashukuru mkuu, dawa ni kuwapiga nyundo tu, ila kwa vijana wadogo kuwa na access ya mtandao na mazingira ya namna hii inakuwa taabu tupu.
Wameharibu sana bado matusi kwa vijana
 
Umekosa kazi ya kufanya,acha kupangia watu maisha hangaika na familia yako.
Mzee sio kupangia twitter kumekua hovyo kweli unaweza andika tweet yako anakuja mtu anajifanya mdada ohoo nataka kitu kubwa
 
Mzee sio kupangia twitter kumekua hovyo kweli unaweza andika tweet yako anakuja mtu anajifanya mdada ohoo nataka kitu kubwa

Twitter haijaanza kuwa ya hovyo jana na wala maneno yako hayataifanya kamwe twitter kuwa sawa,ni kujipotezea muda tu na kujifariji.
 
Maku kabisa hao
 
Twitter imejaa pages za Porn mwenyewe nimeunfollow zaidi ya page 70 za porn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…