Ndio maana tunasema mtaala wakufundishia ndio umepitwa na wakati, hii ni kizazi ya digitali huwezi fundisha vitu vya analogia wakaelewa. Kama tumehama analogia tuhame mazima sio biashara ya ving'ambuzi tu.
Yani Mkuu unasema mawasiliano na taarifa ni anasa? Sasa elimu ina mchango gani kwa taifa hili?Tatizo si mtaala, hata wangefundishwa kianalog na wakawa na wakati wakufuatilia mafunzo, ingekuwa safi tuu
Mimi naona turudi zama za Nyerere' kuwa vitu vya mawasiliano majumbani ni anasa. Watu waache kununua ili watoto wapate time ya kupiga book. Sio wanasoma wakiwa mashuleni tuu.
Yani Mkuu unasema mawasiliano na taarifa ni anasa? Sasa elimu ina mchango gani kwa taifa hili?
Dunia nzima iende mbele sisi tu ndio tuchague kurudi karne ya 19 sio? :nono: Mkuu unajua ile Maktaba yote ya Tanganyika inaingia kwenye Ipad moja tu.
Mimi naona tatizo namba moja linaanza na wanafunzi wenyewe they are not motivated kabisa, shule kama azania, Benjamini Mkapa, zilikuwa hazina walimu wakutosha lakini wanafunzi walikuwa wanafaulu kama kawaida, ila siku hizi, dah!!!!!