Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Mtu anayepata divion zero aka Dunia duara anawezaje kuandika haya?
"nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala ya kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe.........timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendenikatika ofisi zao au viwanjani"
INAKUAJE MWANAFUNZI HUYU ASHINDWE KUSOMA AU KUFAULU HATA KISWAHILI?