DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Jeshi la polisi mkoa wa limewakamata watoto 15 ambao wanaojihusisha na makundi ya uharifu huku wakiwa na umri Mdogo ambayo yamekuwa yakijukiana kwa majina ya Damu chafu na Manyigu na kuwa tishio kwa usalama wa Wananchi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Ali Hamad Makame amesema watoto hao wamekamatwa kufuatia msako mkali uliofanywa na jeshi la polisi kufutia kuwepo kwa matukio mbambali yaliokuwa yakifanywa na watoto hao katika maeneo mbambali ya Mamispaa ya Mpanda.
Amesema kufutia misako hiyo jeshi la polisi limeweza kuwa kamata watoto hao pamoja na wazazi wao na kufikishwa mahakamani na kulipa faini ya Shilingi 50000/=.kwa kila mmoja.
Kamanda Makame amewaonya vikali wazazi na walezi amabao wamekuwa wakiwatumikisha watoto wao kwa kufanya shuguli za kiuchumi kwa kuuza baiashara ndogo ndogo mitaani badala ya kuwapeleka watoto hao shule na kusisaitiza kuwa jeshi hilo halitakuwa na simile kwa mzazi au mlezi wa mtoto ambae atabainika kumtumikisha mtoto wake katika biashara ndogo ndogo mtaani.
Ameeleza kuwa Mpaka sasa kuna msako mkali unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Katavi ya kuhakikisha watoto wadogo hawajihusishi na Biashara muda wa Masomo huku baadhi yao kujiingiza katika vikundi vya kiharifu
``Tunaendelea kufanya Msako wa kuwakamata watoto wadogo wanaofanya baiashara ndogo ndogo na katika hili hatutakamata mtoto pekee tutamkamata hadi Mzazi wake ili atuambie kwanini mtoto anampa majukumu ya kutunza familia wakati mzazi na mlezi upo’’
Katika hatua nyingine makame amewaomba wazazi kuzingatia malezi ya watoto kwakuzingatia maadili ya utanzania na kuwalea watoto katika misingi ya hofu ya mungu ili kutengeneza kizazi ambacho hakina tabia za uharifu katika siku za usoni.