Nimeliona sasa hivi hili tatizo la Pauline Gekul. Sikuwepo mtandaoni kwa siku kadhaa.
Nasema mambo[maamuzi] yasifanyike kwa mihemuko. Kama kuna mtu ameumia,muadhibu yule Mbunge{Pauline].
Lakini usifanye mambo kwa mihemuko,na kuanza kusema kwamba huyu mtoto bila shaka amepata stress sana.[au 'stretch'' would be a better word].
Ndio Waingereza wanao huo msemo,''Children should be seen,not heard''. Mtoto analia, muulize,''Unalia,nani amekupiga?''. Si vinginevyo.
Huyo mtoto ukimpa shilingi millioni tano,kumi ,kumi na tano,probably atasema,''Yeye ana huruma sana. Ameshamsamehe Pauline Gekul"".