watoto wao wanawaingiza nafasi nzuri BOT. TRA, NHIF n.k, wanatuambia sisi tujiajiri

Haya ni mapito tu. Ipo day itafahamika tu.
 
Mm ingawa sina dgr lkn naumia sana ninapowaona mnazunguka na mabahasha ya kaki na mkikosa kazi kwa ajili ya kukosa mtu wa kukupigia pande inauma sana
 
"lini sasa? wakati na sisi watoto wa vigogo tuna vigezo wengi tumesoma india na malasia tumekuja chukua nafasi zetu" angali ucwe mfuasi wa kibwetele ipo siku lini au unategemea 2015? haya tusubiri tuone.
 
inauma sana wanandugu, elimu yenyewe ya manati....ajira kazi, wao kiulaini wanapeta tu. anyway, may be tuushikilie ule usemi unaosema 1 day yes.
 
Anyway sina Comment sana juu ya hili, Ila ninachojua mimi ukimtumaini Mungu hakika utafanikiwa....Saa zingine Mungu anasema hatujui hata kuomba tunaomba vibaya ili tutumie kwa tamaa zetru,

Me naamini tuwe wavumilivu ipo siku tutafika
 
watoto wa wakulima tutaendelea kuumia sana.....mwantumu mahiza ana mdogo wake tulisoma naye udom akampigia pandea nssf afu yeye anatuambia tufuge kuku,,,,usenge sana huu
 
Hivi uwiano wa kazi katika sekta binafsi (private sector) na Serikalini (public sector) ukoje?

Yaani nani anaajiri kwa kiwango gani? Ama nani ameajiri kiwango gani Tanzania?
 
lowasa kikwete sumaye mashishanga mramba yona utayaona sana bot
 
wao wana uwezo wa kuwapa watoto zao mitaj wajiajir waajir na vijana wengine lakin kwa akil zao ndogo yamekalia kubebana 2!wangelijua ni chuki kiasi gan zimejaa mioyon mwa watoto wasomi wa maskini wangekimbia hii nchi, bt musa wetu yupo soon atakuja kutuvusha bahari ya shamu!
 
mimi binafsi inauma sana...Mfano walioomba NSSF walioenda kwenye ajira ni watoto wa vigogo tu..Mfano Mtoto wa naibu Waziri wa Ajira hata akufanya aplication aliitwa nakupewa interview kisha ajira akaanza dsm now amehamishiwa Mwanza.....mtoto hanakitu akilini but kabebwa...
 
huwa wengi tunataka tuanze na dream job..jaman anza na kaz yoyote ht ktk compny za usafi.. then humo ndani unapata channel na info sasa..ukiwa nje kupata taarifa ishu ndugu..mifano watu waloanza chini ipo..msichoke kutafuta..
 
masikin cku hiz na vidgree vyetu tunaishia kuwa waalimu , kwenye nafasi nyingine kama huna mjomba huko imekula kwako. Watakuambia jiajira wakati watoto wakimaliza chuo ni BOT, Tra, nhif. Pspf, ewura n.k

Vuta subira mkuu ipo siku..
 
huwa wengi tunataka tuanze na dream job..jaman anza na kaz yoyote ht ktk compny za usafi.. then humo ndani unapata channel na info sasa..ukiwa nje kupata taarifa ishu ndugu..mifano watu waloanza chini ipo..msichoke kutafuta..
kweli kabisa ndugu !vijana wengi hawataki kujishusha wanataka kuwa seniors wakati juniors officers hawajapita
 
huwa wengi tunataka tuanze na dream job..jaman anza na kaz yoyote ht ktk compny za usafi.. then humo ndani unapata channel na info sasa..ukiwa nje kupata taarifa ishu ndugu..mifano watu waloanza chini ipo..msichoke kutafuta..
kazi inatakiwa iendane na thamani ya elimu yako huwezi kutumia millioni tano kwenye kusoma degree afu ufanye kazi ya laki mbili hiyo ni hasara kubwa
 
watoto wa wakulima tutaendelea kuumia sana.....mwantumu mahiza ana mdogo wake tulisoma naye udom akampigia pandea nssf afu yeye anatuambia tufuge kuku,,,,usenge sana huu

kaka lugha kali sana! wasameheme bure mungu yupo!
 
kaka lugha kali sana! wasameheme bure mungu yupo!

Ebwana kazi na ajira vimekuwa ishu kwa kila Mtanzania msomi na asie msomi
Ila kama ww una idea na vijicent vyako nikubadili mwelekeo nakuwa mbunifu kuweza kujiajili madam elimu unayo sihaba mbona wenzetu wasio na elimu wanakaza na vimiradi vidogo vidogo mpaka wanatoka sembuse wenye elimu
Let's focus ahead tutailaum serikali mpaka lini?
Na itaajili wasomi wangapi maana kila kukicha wasomi wanaongezeka na Vigogo wanazidi kuwapush Ndugu na Jamaa zao kusoma kwa bidii wakiwahakikishia nafasi serikalini, Je ww mwenzangu na mie, Tulia, afakari badili mwelekeo!!
Sasa ww ngoja ngoja ukizidi kupiga poyoyo watakufikia na kukuacha hapohapo ulipo ukiendelea kuilamu Serikali wakati haina habari na ww hata kidogo!!!
Tujiongeze tuache kulaumu tusiwe kama wanasiasa maisha magumu jamaniiii.... alieshiba hamkuki mwenye njaa hata siku moja.
 
masikin cku hiz na
vidgree vyetu tunaishia kuwa waalimu , kwenye nafasi nyingine kama huna
mjomba huko imekula kwako. Watakuambia jiajira wakati watoto wakimaliza
chuo ni BOT, Tra, nhif. Pspf, ewura n.k

M2 wang piga kazi utafanikiwa acha milawama co ishu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…