Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masikin cku hiz na vidgree vyetu tunaishia kuwa waalimu , kwenye nafasi nyingine kama huna mjomba huko imekula kwako. Watakuambia jiajira wakati watoto wakimaliza chuo ni BOT, Tra, nhif. Pspf, ewura n.k
Angalia haya majina mkuu
Pamela lowasa, Filbart Sumaye, Zaria kawawa, Herieth Lumbanga, Salama Mwinyi, Rechal Muganda, Salma Mahita, Justina Mungai, Keneth Nchimbi, Blasia W. Mkapa, Vaoleth Luhanjo, Liku kate kamba, Thomasi Mongela, Jabiri Kigoda - Hii ndo timu ya wana wa Vigogo walioajiriwa BOT (BENKI YA TANZANIA) tena wengi kwa vyeti feki.