#COVID19 Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

#COVID19 Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
1632560405957.png
Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19

Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa.

Unashauriwa utulie kwa kidogo kisha umuite na umrekebishe kwa kutumia lugha rafiki pasipo kumfokea.

Inaelezwa kuwa kufanya hivi kunamsaidia mtoto kuelewa ujumbe vyema na kutorudia tabia hiyo hatarishi
 
Back
Top Bottom