Hatuwezi kuachia kila kitu kwa hiyo unayoiita serikali, serikali ni mimi na wewe na jukumu letu ni kuwakumbusha viongozi ili wafanyie kazi maswala kama haya wajibu wetu kama watanzania ni kuongea na hao wenye mamlaka kuwaeleza yanayotekea nadhani utakuwa mwanzo mzuri wa wao kuchukua hatua