Yukina
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 201
- 112
Wazazi tuweni macho mchezo mbaya umeibuka Watoto wa rika zoote wanatekwa Tanzania karibu kila siku!! Kwanini Serikali yetu imekaa kimya ? Haitoi tahadhari kwa wananchi wake ? Hawa watekaji wanapata nguvu kwa sababu serikali haisemi chochote kwa wananchi wake!!